#COVID19 Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

Kitu ambacho kinashangaza ni kwamba hiyo mikusanyiko yote tunayoifanya haileti athari ila sie huwa tunahofia corona kutoka nchi za wenzetu tu, mara South Africa mara India na sasa Uganda ila sisi wenyewe hata tukusanyane vp hutoona ongezeko la wagonjwa huko hospitali wenye kuhitaji mashine za kusaidia kupumua.
 
Lissu na Mbowe wameingiaje hapa?Huyu aliyejifukiza na mumewe mbona husemi
 
Umesema kweli. Corona hakuna. Hata watu waliofariki na wanaofariki wanakufa kwa hofu tu. Hata Magufuli alikufa kwa hofu tu kama alivyokuwa anasema mwenyewe, corona hakuna ila ni hofu tu.
Hivi kwanini hamumtaji hata kwa bahati mbaya Maalim seif mnapokuwa mnataja waliyokufa na corona? ndio tuseme mmemsahau kiasi hicho au mmesahau kwamba nae kafa na corona?
 
Maisha yanaenda kasi sana...

Huyu si ndio waziri alikuwa mstari wa mbele kwenye ishu za nyungu hadi akawa anatengeneza video clips na mumewe...

Sasa hivi kahamia tena kwenye barakoa 😊
Nadhani wakati ule alikuwa anafanya kile anachokiamini ila sasa anafanya kile atakacho Boss wake mpya.
 
@fatuma-zehra.. umeongea vzr mahesabu yapigwa kwenye Ile b.usd ila hawajajua society ina interest zipi... Je c19 kwetu ni tatzo kweli??

Kunamdau hum kasema ukiwatima wanachosema(body language) unaona vitu 2 tofautii kabisa..
 
Ila Magufuli alitushika pabaya. Mtu mmoja akasema nchi haina Corona na watu 60m tukafyata
Magufuli mnamsingizia tu au tuseme mnampa sifa si zake kwa sababu hata sasa amefariki ila bado ukiwatizama hata hao viongozi wa serikali hawaoneshi kutambua uwepo wa corona hata hizo barakoa huzivaa tu anapokuwwpo Rais.
 
@fatuma-zehra.. umeongea vzr mahesabu yapigwa kwenye Ile b.usd ila hawajajua society ina interest zipi... Je c19 kwetu ni tatzo kweli??

Kunamdau hum kasema ukiwatima wanachosema(body language) unaona vitu 2 tofautii kabisa..
Kweli kaka. Tutaletewa social unrest ambayo inaweza ikaleta hata maandamano. Maana huwa inaanza hivi hivi halafu mwishowe lockdown inakuja. Katika hilo, mama aangalie national interest.
 
🤔 Si ni huyu huyu alikuwa anasema tunywe Mizizi.
Nchi ina vituko hii.

Kibwengo alikuwa kaitia nchi nzima msukule. Watu walikuwa hawajielewi kabisa hata useme vipi.
 
Kweli kaka. Tutaletewa social unrest ambayo inaweza ikaleta hata maandamano. Maana huwa inaanza hivi hivi halafu mwishowe lockdown inakuja. Katika hilo, mama aangalie national interest.
Kunamdau nmemuuliza maswal hapa chini hajanijib
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hv mikusanyiko isiyo yalazima ni yap? Na hyo c.19 ipo wap? Na matumiz sahihi ya barakoa ni yapi... Na zipi zenye ubora?? Je mbinu za mwanzoni zilizotufikisha happy zimefell au tunaintroduce wazojipya??.
 
Mnafiki kabisa huyu alipaswa kuondolewa siku nyingi kwenye hiyo nafasi
Hivi Kabudi yupo kweli? Simsikii siku hizi, nikikumbuka yale maigizo yake ya madagascar huwa nacheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…