#COVID19 Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

#COVID19 Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

Hivi Kabudi yupo kweli? Simsikii siku hizi, nikikumbuka yale maigizo yake ya madagascar huwa nacheka sana
😅 😂
Prof. aliyechambia taaluma yake, nasikia hata jimboni amewaambia yeye aliteuliwa na Mwendazake wapigakura wasimbughudhi
 
... hivi ukivaa barakoa kumkinga jirani yako mwenye kinga ya mashaka kama unavyodai itakupunguzia nini? S hata maandiko yanasema mpende jirani yako? Kwa kuwa kinga yako ni imara hata humjali aliye dhaifu? Kwamba bora afe tu yanihusu nini? Hebu fikiria mara mbili rafiki; kila mwanadamu anahitaji kuishi!

Si avae yeye mwenye kinga ya mashaka tatizo liko wp?
 
Leo nmekutana na bango kwenye bajaji linapicha ya mdada halafu juu ya maandishi imeandikwa...

MAPENZI YA MAMA,
BUSARA ZA BABA..
Bado naendelea kutafakari jamaa alimaanisha Nini... Mwenye kujua anaweza kunisaidia maana yake...

Huyo anaongelea wazazi wake.
 
Lisu amekuja na kufanya kampeni hapa kwa miezi 3 bila kuvaa barakoa lakini kwa unafiki alionao aliporudi kwa wanaomfuga akatangaza Tanzania kuna Corona.

Mbowe pia kwenye konyagi anaonekana bila barakoa lakini kwenye vikao vyake uchwara anaonekana amevaa barakoa ili wafadhili wampe pesa zaidi!!!
aisee wewe inaonekana Ni tahiira kumbe,
 
Hivi kwanini hamumtaji hata kwa bahati mbaya Maalim seif mnapokuwa mnataja waliyokufa na corona? ndio tuseme mmemsahau kiasi hicho au mmesahau kwamba nae kafa na corona?
Alikufa akiwa na corona lakini si lazima kuwa corona ndiyo iliyomuua!! Mbona wengi tu wana corona lakini haiwafanyi kitu. Tatizo Maalim Seif alielezea tatizo lake moja tu mengine aliyokuwa nayo akayafanya siri ili kutupotosha!! Ina maana katika maisha yake aliwahi kuugua corona tu? Mbona mengine hakuwahi kuyaweka wazi?
 
Mtu pekee angeweza kutuambia jambo (asilimia kubwa ya watanzania)kuhusu corona na tukamkubalia kwa asilimia mia yupo zake chato kapumzika salama
mfuate ukapumzike nae,Ni haki yako kikatiba
 
Alikufa akiwa na vorona lakini si lazima kuwa corona ndiyo iliyomuua!! Mbona wengi tu wana corona lakini haiwafanyi kitu. Tatizo Maalim Seif alielezea tatizo lake moja tu mengine aliyokuwa nayo akayafanya siri ili kutupotosha!! Ina maana katika maisha yake aliwahj kuugua cotona tu? Mbona mengine hakuwahi kuyaweka wazi?
Ngosha corona ilimuondoa ilo hakuna ubishi
 
Sura iliyotushawishi tuache kutumia barakoa, haiwezi kuwa sura ya kuturudisha huko. Wawe serious hawa, huyu waziri inabidi aondoke kwanza.
 
Hoa wasiojielewa ndio wanaosambaza vijidudu vya korona kwa kupuuza kwao na kuwambukiza watu innocent ....Utakuta jitu linapiga chafya hadharani bila hata kujifunika na kitambaa hadi unajiuliza huyu mtu ana brain kweli?
Kwani wewe ukivaa utaambukizwaje na mjinga ambae hajavaa?

Mbona mwenyekiti wako mr Dj huko mikoani anakusanya wazee wa watu wanarundikana kwenye viukumbi bila barakoa huku yeye akiwa kajichanja? Kuna mjinga zaidi ya huyo?
 
Bado maagizo haya hayazingatiwi sehemu za mikusanyiko, wakuu wa Mikoa na ma DC pamoja na watendaji wa vijiji wanao wajibu wa kuelimisha wananchi walio chini yao jinsi ya kujikinga na umuhimu wa kuvaa barakoa sehemu za mikusanyiko.
 
Bado maagizo haya hayazingatiwi sehemu za mikusanyiko, wakuu wa Mikoa na ma DC pamoja na watendaji wa vijiji wanao wajibu wa kuelimisha wananchi walio chini yao jinsi ya kujikinga na umuhimu wa kuvaa barakoa sehemu za mikusanyiko.
Mkuu hiv c19 ipo au haipo?? Na Kama ipo ipo wapi?? Au wanalazimisha iwepo?? Wanaitaka kwa kuwa wao wanachakula Cha kutosha.. wanamaji.. wanamahali pakulala pazr.. wangekuwa wanaishi huku kwetu hata hayo maneno wangeona aibu kuyatamka hadharani...

Kunavitu vikitokea Wala hutahitaji matangazo... Hv kwel jamii yetu inahitaji barakoa?? Au inahitaji elim?? Kwa nn tangu ugonjwa umeingia hatujawahi kuwa na hz mambo?? Au wao somo la takwimu na simultaneous equation hawakusoma?? Hawakuwepo siku hzo wakati topic zinafundishwa??
 
Hv mikusanyiko isiyo yalazima ni yap? Na hyo c.19 ipo wap? Na matumiz sahihi ya barakoa ni yapi... Na zipi zenye ubora?? Je mbinu za mwanzoni zilizotufikisha happy zimefell au tunaintroduce wazojipya??
Ni mambo yote yale ambayo hayana ulazima wa kukusanyana, kwamba yanaweza kufanyika pasina ulazima wa watu kukusanyana na mambo yakaenda. Mambo mengine mnaweza kuacha kuyafanya kwa sababu si mambo ya msingi kama show za muziki,sherehe za harusi au sijui mkutano na wazee au sijui wanawake.
Kuhusu covid waulize serikali yenyewe pengine ndio inajua hali ya corona.

Appropriate use of face masks is important. The face mask should completely cover the face from the bridge of the nose down to the chin. Clean hands with soap and water or alcohol-based hand sanitiser before putting on and taking off the face mask. When taking off the face mask, remove it from behind, avoiding to touch the front side. Dispose the face mask safely if it is disposable. Wash your hands or apply alcohol-based hand sanitiser immediately after removing the face mask. Washable, reusable face should be washed as soon as possible after each use, using common detergent at 60 °C. Campaigns for the appropriate use of face masks may improve the effectiveness of the measure.
 
Back
Top Bottom