π πHivi Kabudi yupo kweli? Simsikii siku hizi, nikikumbuka yale maigizo yake ya madagascar huwa nacheka sana
... hivi ukivaa barakoa kumkinga jirani yako mwenye kinga ya mashaka kama unavyodai itakupunguzia nini? S hata maandiko yanasema mpende jirani yako? Kwa kuwa kinga yako ni imara hata humjali aliye dhaifu? Kwamba bora afe tu yanihusu nini? Hebu fikiria mara mbili rafiki; kila mwanadamu anahitaji kuishi!
Leo nmekutana na bango kwenye bajaji linapicha ya mdada halafu juu ya maandishi imeandikwa...
MAPENZI YA MAMA,
BUSARA ZA BABA..
Bado naendelea kutafakari jamaa alimaanisha Nini... Mwenye kujua anaweza kunisaidia maana yake...
aisee wewe inaonekana Ni tahiira kumbe,Lisu amekuja na kufanya kampeni hapa kwa miezi 3 bila kuvaa barakoa lakini kwa unafiki alionao aliporudi kwa wanaomfuga akatangaza Tanzania kuna Corona.
Mbowe pia kwenye konyagi anaonekana bila barakoa lakini kwenye vikao vyake uchwara anaonekana amevaa barakoa ili wafadhili wampe pesa zaidi!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16] nmeipenda hyo tafsiri..Huyo anaongelea wazazi wake.
inawezekana pia hizo akili zilikua sawa, ila sasa ndo zinatibuliwa. kwani hujaona masharti ya mkopo wa IMF mkuu. Hebu fikiria kidogo au nawwe unahitaji akili zako ziwe restored.Akili zimeanza kujirestore mkuu. Viongozi wetu wazandiki kweli kweli
Kwani hao waigizaji ni "wanasiasa"?Nitafanya kila lililo juu ya uweza wangu mwanangu asiwe mwanasisa.
Amesema haipo. Ila tuchukue tahadhari isiingie. Na wala hakucheka aliposema hivyo.Kwani korona ipo nchini?
Alikufa akiwa na corona lakini si lazima kuwa corona ndiyo iliyomuua!! Mbona wengi tu wana corona lakini haiwafanyi kitu. Tatizo Maalim Seif alielezea tatizo lake moja tu mengine aliyokuwa nayo akayafanya siri ili kutupotosha!! Ina maana katika maisha yake aliwahi kuugua corona tu? Mbona mengine hakuwahi kuyaweka wazi?Hivi kwanini hamumtaji hata kwa bahati mbaya Maalim seif mnapokuwa mnataja waliyokufa na corona? ndio tuseme mmemsahau kiasi hicho au mmesahau kwamba nae kafa na corona?
mfuate ukapumzike nae,Ni haki yako kikatibaMtu pekee angeweza kutuambia jambo (asilimia kubwa ya watanzania)kuhusu corona na tukamkubalia kwa asilimia mia yupo zake chato kapumzika salama
Mkuu utaniua mbavu... Et haoni aibu...Amesema haipo. Ila tuchukue tahadhari isiingie. Na wala hakucheka aliposema hivyo.
Amandla...
Ngosha corona ilimuondoa ilo hakuna ubishiAlikufa akiwa na vorona lakini si lazima kuwa corona ndiyo iliyomuua!! Mbona wengi tu wana corona lakini haiwafanyi kitu. Tatizo Maalim Seif alielezea tatizo lake moja tu mengine aliyokuwa nayo akayafanya siri ili kutupotosha!! Ina maana katika maisha yake aliwahj kuugua cotona tu? Mbona mengine hakuwahi kuyaweka wazi?
Unacheza na b.500?? Hata tukiambiwa tubadili katiba tutabadiliKwani nyungu series imeisha tayari?
Kwani wewe ukivaa utaambukizwaje na mjinga ambae hajavaa?Hoa wasiojielewa ndio wanaosambaza vijidudu vya korona kwa kupuuza kwao na kuwambukiza watu innocent ....Utakuta jitu linapiga chafya hadharani bila hata kujifunika na kitambaa hadi unajiuliza huyu mtu ana brain kweli?
mfuate ukapumzike nae,Ni haki yako kikatiba
Mkuu hiv c19 ipo au haipo?? Na Kama ipo ipo wapi?? Au wanalazimisha iwepo?? Wanaitaka kwa kuwa wao wanachakula Cha kutosha.. wanamaji.. wanamahali pakulala pazr.. wangekuwa wanaishi huku kwetu hata hayo maneno wangeona aibu kuyatamka hadharani...Bado maagizo haya hayazingatiwi sehemu za mikusanyiko, wakuu wa Mikoa na ma DC pamoja na watendaji wa vijiji wanao wajibu wa kuelimisha wananchi walio chini yao jinsi ya kujikinga na umuhimu wa kuvaa barakoa sehemu za mikusanyiko.
Ni mambo yote yale ambayo hayana ulazima wa kukusanyana, kwamba yanaweza kufanyika pasina ulazima wa watu kukusanyana na mambo yakaenda. Mambo mengine mnaweza kuacha kuyafanya kwa sababu si mambo ya msingi kama show za muziki,sherehe za harusi au sijui mkutano na wazee au sijui wanawake.Hv mikusanyiko isiyo yalazima ni yap? Na hyo c.19 ipo wap? Na matumiz sahihi ya barakoa ni yapi... Na zipi zenye ubora?? Je mbinu za mwanzoni zilizotufikisha happy zimefell au tunaintroduce wazojipya??