Tanzania: Serikali yapiga marufuku watoto kukaa bweni (boarding) kuanzia darasa la nne kushuka chini

Nashauri shule za boarding zifunge mifumo ya kiusalama kufuatilia mienendo ya ndani na nje ya mabweni hayo ikibidi mpaka chooni na iwe na standby power incase of umeme wa Tanesco ukikatika
 
Muda wa grandmas hata grandpas kuwasaidia malezi pia..
Dont take things for granted...kuna ambao awana hao grandpa na grandma laikini pia wengine wanao lakini wapo nao kazini au tayari nao wanayo majukumu yao kwenye himaya zao.
 
Wakuu, hivi kuna mtu ana data za idadi ya shule za msingi za bweni Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…