THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Hatujui,tueleze wewe bwana mchambuziPua zimekutanuka kwa jazba hadi unakosa point.
Tunahitaji waziri wa mambo ya nje anayejua diplomasia sio huyu mchekeshaji wa mfalme anayeyoa macho tu kwenye migogoro ya kimataifa.
Inamaana hamjui kwanini ndege zetu zimekatazwa kutua Kenya?
Watanzania=Wachawi wenye umaskini mwingi majungu chuki na wivuKenya=Wazungu weusi wenye njaa kali na wenye kipindupindu
Kuzidi huu ujuha hapa?Watanzania=Wachawi wenye umaskini mwingi majungu chuki na wivu
Mwambie Kenyata agawe ardhi anayomiliki ili wananchi wake wapate japo maeneo ya kulima sukuma wiki..Ni kujipendekeza kw mkulu, unajuaje next time atampa uwaziri wa mambo ya nje
Nadhani unataka waziri mlevi dizain ya mbowPua zimekutanuka kwa jazba hadi unakosa point.
Tunahitaji waziri anayejua diplomasia sio huyu mchekeshaji wa mfalme anayetoa macho tu kwenye migogoro ya kimataifa.
Inamaana hamjui kwanini ndege zetu zimekatazwa kutua Kenya?
Hata china wassliti wapo kasoro nchi ya kijamaakatika vita yoyote hukosi wasaliti km ww.
Nimtazamo wako siyo tatizo...wala hali haiko usemavyoKama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.
Ujinga ukizidi muone dactari[emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania kwa sasa ni kichwa cha mwendawazimu!View attachment 1523489
Kwa yale yalio kuwa yanafanya na kenya bado unahisi ilikuwa sahihi kuendelea kuwa chekea hawa watu?Inashangaza sana, "great thinkers" badala ya kuangalia namna nzuri ya kuzisaidia nchi hizi masikini (japo tunajigamba kuwa tupo uchumi wa kati) tupo hapa kupigana vijembe na kufuata mkumbo wa wanasiasa waliofilisika kisiasa. Ukweli utabaki pale pale, Kenya na Tanzania zinategemeana sana na hakuna East Africa pasipo Tanzania au Kenya, vinginevyo ni kujidanganya...
Mimi Kama Raia Wa Banana Republic Naungana Na Hoja Yako, TZ tumejaa husuda, Visebusebu na viroho Papo.
Sio Tanzania, hapa chakula kipo kibao tukiuziana sisi kwa sisi kinabaki kingi na bei itakua chin mkulima haita mlipa.Nani ka kwambia tena kipindi hiki cha Corona,WFP wametabiri kutakuwa na janga kubwa la njaa,masoko yapo kibao.