Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo.
Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏

Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri tuliyonayo kwakweli ni aibu, huku kijjn hawajui kama ndani ya Tanzania hii hii Kuna watu wanauza unga wanashangaa wakiambiwa. Hebu ndugu zangu tulime hata eka 1 tu

Nyie ndugu zetu mliokuja kula sikuku hakksheni mnalima hata eka Moja tu ya mahindi.

Kazi IENDELEE
Kazi na Utu Tunasonga Mbele
 
Huu Uzi umejaa akili sana
Kimbesa11 tumekuelewa sana
 
Pumbavu, Tanzania sio nchi ya kununua hata maji kwenye madumu.
 
JAMBO KAMA HILI , HUWA LINANIFIKIRISHA SISI TANZANIA WE ARE SO BLESSED A LOT , MFANO PALE NYUMBANI BUKOBA WE HAVE EVERYTHING KUANZIA HALI YA HEWA NZURI , ARDHI YENYE RUTUBA , MAJI ILA HUWA NAPIGIWA SIMU ZA KUAMBIWA NITUME HELA YA CHAKULA WAKATI MASHAMBA TUNAYO


TANZANIA TUMEBARIKIWA SANA MPAKA LEO HAPA TANZANIA UNANUNUA SHAMBA ZURI AMBALO LINAWEZA KUKUPA CHAKULA MWAKA MZIMA wewe na familia yako KWA MILLION 1 TU.
 
Miaka 60 ya uongozi wa majizi hatuna hata maji ya uhakika tunapitwa hata na misri inayotegemea chanzo kimoja kutoka kwetu Nile
 
Back
Top Bottom