Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

Mama anaupiga mwingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Serikali imetegwa.

Wakiwaondoa kwa nguvu tu.

Maadui zetu watachafua image ya nchi na tutawapoteza watalii.

Watalii wako sensitive sana na mambo kama hayo ya haki za binadamu na mengineyo kama hayo.
 
Mnakataa katiba mpya halafu mkiuzwa kama kuku mnaanza kulialia.
 
Serikali imetegwa.

Wakiwaondoa kwa nguvu tu.

Maadui zetu watachafua image ya nchi na tutawapoteza watalii.

Watalii wako sensitive sana na mambo kama hayo ya haki za binadamu na mengineyo kama hayo.
Nyie si ndiyo nmaunga mkono wananchi tuishi kama manyani au mbwa wa kufugwa tukiabudu watawala?
 
Serikali imetegwa.

Wakiwaondoa kwa nguvu tu.

Maadui zetu watachafua image ya nchi na tutawapoteza watalii.

Watalii wako sensitive sana na mambo kama hayo ya haki za binadamu na mengineyo kama hayo.

Dawa ni katiba mpya ambayo wananchi watakuwa na maamuzi ya juu nchi yao.Katiba ya sasa Rais ni kila kitu akiamua Wamaasai watatoka tu hakuna namna wakileta ukaidi Mama Yoyo watatandikwa na vikosi vyetu vya ulinzi na Usalama ambavyo vinapokea amri kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu.

Ukikimbilia Mahakamani unakutana na Majaji wa michongo na hukumu za michongo.

Suala la katika mpya ni suala la waTanzania wote ambao akili zao zipo vizuri.
 
Kwa kuwa waarabu wanaudugu na wazanzibar bora wapewe eneo kule visiwani sio kuwatesa wamasai kwenye nchi yao

Loliondo iliuzwa kwa waarabu kinyemela na ngororongoro wanataka waipige mnada ?
Kwa nini wazenji wanapotawala Tanzania huwa wanauza mbuga kwa waarabu? baada ya Loliondo kuuzwa wakati wa Mwinyi, sikuwahi kusikia mbuga nyingine ikuzwa ispokuwa alipokuja mama. Tena uuzwaji umekwenda haraka sana ndani ya mwaka mmoja tu wa utawala wake, je akimaliza miaka kumi madarakani ni mbuga ngapi zitauzwa?
 
Wakiuza watarudi kwao hawana hasara na watanganyika ni makondoo wapole hawana la kufanya
 
Kama mnawapenda waarabu waiteni waje wawatawale tena huko zanzibar
Loliondo itarudi kwa watanganyika na ngororongoro itarudi kwa watanganyika

Sauti ya utaifa inainuka kwa kasi
 
Kama mnawapenda waarabu waiteni waje wawatawale tena
Loliondo itarudi kwa watanganyika na ngororongoro itarudi kwa watanganyika

Sauti ya utaifa inainuka kwa kasi
Wataka wakae mara ngapi,si ndio hao wamasai,wapo,hao wamasai sio wabantu,asili yao ni Misri.
 
Kwa jamii tuliyonayo sasa katiba sio mwarobaini wa kila kitu.

Bado hatujawa na watu wenye ustaarabu na uelewa wa kutosha , katiba itakua kazi bure tu mkuu.

Mkazo uwekwe kwanza kwenye kuikomboa jamii yetu toka kwenye lindi la umaskini wa maarifa.

Elimu ni muhimu sana.

Katiba huwa inakuja automatically tu bila hata kusumbuana.
 
Serikali imetegwa.

Wakiwaondoa kwa nguvu tu.

Maadui zetu watachafua image ya nchi na tutawapoteza watalii.

Watalii wako sensitive sana na mambo kama hayo ya haki za binadamu na mengineyo kama hayo.
Umeona mbali sana.
Sema majamaa hapa tz ni majizi hatari, hapo kinachotafutwa sio interest ya nchi, Bali ni 10%
 
Duuuh. Unajua kuwa Sinza kulikuwa na wanyamapori?
Siyo wanyama tu na maziwa wameyakausha yote hawasemi wao waharibifu wa mazingira wanaona wamasai tu ambao bila wao hata hiyo Ngorongoro leo isingekuwepo...Wana wa uasi na uovu hawaishi kuleta uchungu kwenye taifa la watu ambao hawajazoea magomvi na fitina...
 
Nilikuwa nawaza kama wewe ila sasa hawa ndugu zetu ambao wameamua kutumia katiba kwa faida binafsi tunawafanyaje? Unaona kabisa hawana uwoga wala wasiwasi kwakua wanakila silaha ya kujikinga kupitia hii katiba inayotoa mwanya kwa state capture...Nipo magotini nikiinuka ngome zote zitaanguka na mshindo wake safari hii utakuwa wa kutisha kila chenye mwili.

Mungu hajawahi kuwa mwongo, wala hajawahi kuwa dhaifu...Says Ame the Prophet...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…