Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

Ukweli mchungu huu...Cry my country!
 
Katiba mpya ni muhimu kwa usalama wetu na vizazi vyetu vijavyo.
 
Walitoka wote Serengeti Wakaja ngorongoro kwa makubaliano ya kupisha wanyama !
Pale ngorongoro crater wanaishi na wanyama tangu kabla ya uhuru idadi yao ikiwa 8000 ila kiukweli idadi yao imeongezeka na ukweli huo haupingiki lakini ustawi umekuwepo na ni Mojawapo ya kichocheo cha watalii wanyama kuishi na binadamu.
Amesema kuna mambo mengi yanayoadhiri ustawi wa mazingira ikiwemo kuwepo kwa barabara nyingi , magugu vamizi nk
Wamependekeza kuwepo mazungumzo ya pamoja wakishirikishwa ili kutatua changamoto ambazo zipo .
Hii ni kwa mujibu wa mwanasheria wa wafugaji wa ngorongoro akihojiwa na star tv.
 
Dada katiba ni makaratasi tu,

Hii iliyopo yenyewe haijaruhusu hayo yanayotokea ila inavunjwa na hamna kitu mnafanya!

Kilichopo hapo ni ulafi tu wa viongozi, na Magu asingekubali huu ujuha utokee chini ya uongozi wake.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Wamasai kama walivyo binadamu wengine ni wanyama pia.
Wameishi na jamii nyingine za wanyama kwa maelfu ya miaka.
Tuwaache waishi Ngorongoro na wanyama wengine ili kuipamba ekolojia.
Tunawahamishia mwanza, town, nao watedt radha tofauti[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…