Tanzania sihami, Matokeo ya Sensa yakioneshwa kwa Helkopita

Tanzania sihami, Matokeo ya Sensa yakioneshwa kwa Helkopita

Msilaumu msije kulaumiwa.
Ukweli hiki ambacho kinafanyika now ni kuwananga waliokuwepo wakati wa jeshi la mtu mmoja, sidhani kama kuna la ziada.

Na sisi wananchi tuache lawama zisizo na maana, mlikuwa mnalialia sana hali ngumu, pesa hakuna leo mbuzi kakata kamba mnalalamika, mfanyiwe nini asee watz..?
 
[emoji23][emoji1787][emoji23]urefu wa kamba


JamiiForums1856819424.gif
 
Hivi MH Rais wetu Mpendwa Ange tangaza kupitia tv siangeokoa Pesa nyingi sana? Yaani unakusanya kodi Alafu unazitumia hovyo uo ni Udhaifu mkubwa na matumizi mabaya ya fedha za uma.

Watanzania tuna mambo mengi ambayo yana hitaji fedha kuzitatua.

Hatuwezi kukopa Au kunyima Watoto mahitaji yao ili upeleke kilambo kwa Bb Arusi. Atuko sawa viongozi wetu mjitafakari juu ya matumizi ya Pesa za uma.
 
Nilitarajia rais angekaa zake ikulu na kulihutubia taifa kwa dakika 5 na kutangaza hayo matokeo. Lakini kitendo cha kufanya gafla kubwa namna ile kwa jambo dogo hili, hakika ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
Magufuli ndiye muasisi wa sherehe zisizo na kichwa.
Kila tukio alilitimia kisiasa kujijenga
 
Magufuli ndiye muasisi wa sherehe zisizo na kichwa.
Kila tukio alilitimia kisiasa kujijenga
Huyo alizuia kufanyika hata sherehe za kitaifa ili fedha hizo zinajengwa miradi ya kunufaisha jamii kama mahospitali na barabara. Hukumbuki?
 
Helkopta ikionesha idadi ya Watanzania kutoka matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022.

Tuko 61,741,120. - Gerson Msigwa
================
Mheshimiwa hizi helkopita zingeenda kusaidia kuzima moto mt. Kilimanjaro huoni mngetumia busara.

kama ningehesabiwa na mm ingekua na 21 hapo !!
 
Wametia shs ngapi? Si afadhali hiyo hela ya sherehe za kutangaza sensa na hata za mchakato mzima wangewekeza kwenye dawasa? Maji hamna...
 
Back
Top Bottom