kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha mjinga huliwa na mwerevu.Matumizi tu mabaya ya kodi za wavuja jasho. Watawala wamelewa madaraka. Wanafanya vitu vingine huku vikiwa havina tija wala nini.
inchi ina watu wa hovyo sanaHata kama ingetumika Baiskeli pia wangekuja watu wengine kulalamika.
🤣🤣🤣 Najua usiku mmoja tu mtarudi huko mbioKuna haja ya kuingia msituni...
Helkopta ikionesha idadi ya Watanzania kutoka matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022.
Tuko 61,741,120. - Gerson Msigwa
================
Mheshimiwa hizi helkopita zingeenda kusaidia kuzima moto mt. Kilimanjaro huoni mngetumia busara.
Acha ujinga, Magufuli alifuata masherehe yote yasio na tija fedha zote zilielekezwa kwenye miundombinu,mfn Hospital ya Benjamin Dodoma ilikuwa ya sherehe za uhuru, Barabara ya Morocco ilikuwa fedha za Muungano, Magufuli hakuwa na ujinga huu.Magufuli ndiye muasisi wa sherehe zisizo na kichwa.
Kila tukio alilitimia kisiasa kujijenga
Mie napinga Dar kuwa na watu 5.8m nilitegemea wawe at least 7mHelkopta ikionesha idadi ya Watanzania kutoka matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022.
Tuko 61,741,120. - Gerson Msigwa
================
Mheshimiwa hizi helkopita zingeenda kusaidia kuzima moto mt. Kilimanjaro huoni mngetumia busara.
Nimeandika nimefuta mara tatu.
Magufuli pamoja na kumsema alikuwa mbaya alijitahidi kubana matumizi Ili Hela ionekane. .
Tumeanza kusikia tupo million 60. Tokea 2017. Inamaana sisi watanzania tumeanza kuwaiga wazungu kuzaa mtoto mmoja au mwenye kujua Sensa ya 2012 tulikuwa Wangapi? Atujuze apa tuweke asilimia iliyotakiwa tuwepoMi sikuhesabiwa! Kwenye hiyo idadi niongezeni
mhn! vidole vimegoma nimeshindwa kuandika kwa kuwa tumewaona Yanga wakishangilia ushindi wa simba nao simba wakashindwa kushangilia wakiwashangaa wanaowashangilia! nisije kushindwa toka eneo nililopo.Tumeanza kusikia tupo million 60. Tokea 2017. Inamaana sisi watanzania tumeanza kuwaiga wazungu kuzaa mtoto mmoja au mwenye kujua Sensa ya 2012 tulikuwa Wangapi? Atujuze apa tuweke asilimia iliyotakiwa tuwepo