Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watendaji wa serikali ni wale wale kwa asilimia kubwa. Kwenye takwimu nini kimebadilika?Msilaumu msije kulaumiwa.
Ukweli hiki ambacho kinafanyika now ni kuwananga waliokuwepo wakati wa jeshi la mtu mmoja, sidhani kama kuna la ziada.
Na sisi wananchi tuache lawama zisizo na maana, mlikuwa mnalialia sana hali ngumu, pesa hakuna leo mbuzi kakata kamba mnalalamika, mfanyiwe nini asee watz..?
Mnataka kuniambia kuna jopo lilikaa likajadili lifanyike hili?,Helkopta ikionesha idadi ya Watanzania kutoka matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022.
Tuko 61,741,120. - Gerson Msigwa
================
Mheshimiwa hizi helkopita zingeenda kusaidia kuzima moto mt. Kilimanjaro huoni mngetumia busara.
Au hata angelituma Jahazi Taarab lizunguke Nchi nzima na Bango.Nilitarajia rais angekaa zake ikulu na kulihutubia taifa kwa dakika 5
Kaka uliuona hela kipindi hicho iliyobanwa?Nimeandika nimefuta mara tatu.
Magufuli pamoja na kumsema alikuwa mbaya alijitahidi kubana matumizi Ili Hela ionekane. .
Unajua safari moja tu ya nje inaenda watu wangap? Five star hotel, chakula nk. Ndege zilinunuliwa kwa mikopo? Mbona mambo mengi watanzania wanajifanya hawayaoni yalifanyika makubwa. Ach chuki za kisiasa utaona tu. .Kaka uliuona hela kipindi hicho iliyobanwa?