Helkopta ikionesha idadi ya Watanzania kutoka matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022.
Tuko 61,741,120. - Gerson Msigwa
================
Mheshimiwa hizi helkopita zingeenda kusaidia kuzima moto mt. Kilimanjaro huoni mngetumia busara
Helkopta ikionesha idadi ya Watanzania kutoka matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022.
Tuko 61,741,120. - Gerson Msigwa
================
Mheshimiwa hizi helkopita zingeenda kusaidia kuzima moto mt. Kilimanjaro huoni mngetumia busara.
View attachment 2403515
Sensa ya watu na makazi hizi takwimu zitakuwa zinahitajika mahali, Ee Mungu tutie nguvu.