🚮🚮Ukikielewa kitu kua ni Rubbish ujue kua wewe ndio Rubbish.
Ukiskia ni bil 20+ usifeHapo ukute bajeti ya kuirusha hiyo helicopter ni 20+m...
Mzilankende Alijua Sehemu Zenye TatizoNimeandika nimefuta mara tatu.
Magufuli pamoja na kumsema alikuwa mbaya alijitahidi kubana matumizi Ili Hela ionekane. .
Magufuli ndiye muasisi wa sherehe zisizo na kichwa.Nilitarajia rais angekaa zake ikulu na kulihutubia taifa kwa dakika 5 na kutangaza hayo matokeo. Lakini kitendo cha kufanya gafla kubwa namna ile kwa jambo dogo hili, hakika ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
We jamaa akili zako unazijua mwenyewe, sasa ndege tu kupeperusha bango lenye no 61M we unaona jambo geni la kujivunia!Helkopta ikionesha idadi ya Watanzania kutoka matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022.
Tuko 61,741,120. - Greson Msigwa
Huyo alizuia kufanyika hata sherehe za kitaifa ili fedha hizo zinajengwa miradi ya kunufaisha jamii kama mahospitali na barabara. Hukumbuki?Magufuli ndiye muasisi wa sherehe zisizo na kichwa.
Kila tukio alilitimia kisiasa kujijenga
Issue sio kulalamika, bali swali ni je, nini mantiki ya hilo zoezi?Hata kama ingetumika Baiskeli pia wangekuja watu wengine kulalamika.
kama ningehesabiwa na mm ingekua na 21 hapo !!Helkopta ikionesha idadi ya Watanzania kutoka matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022.
Tuko 61,741,120. - Gerson Msigwa
================
Mheshimiwa hizi helkopita zingeenda kusaidia kuzima moto mt. Kilimanjaro huoni mngetumia busara.