Tanzania sio pango la wanyanganyi period Rais chukua hili kwa uzito mkubwa

Time will teri
 

Ukisikiliza kwa makini utaona hicho cha msingi ndiyo kinapigiwa kelele. Yaani rasilimali zinazochimbwa au kuuzwa hazinufaishi wananchi wengi kwa mtazamo wao. Pamoja na kwamba mauzo ya hizo rasilimali yanainua uchumi, wananchi wengi wanaona maisha yao yako vile vile au yanazidi kuwa magumu.
 
Churq Uza vyote ili kusifia kinafiki kuishe... pambavu.. uza vyote
 
Kaa kimya wewe. Huna hoja yoyote ya msingi zaidi ya uchawa kupambania ugali wako.

Watu kama nyie ndio mliliingiza hili taifa utumwani. Jielewe na ujitambue Pro. Chawa
huenda mtumwa umebaki wewe pekeyako tu gentleman,
ambae waziwazi kabisa unadhulumiwa pesa zako na matapeli wa kisiasa kidigitali, lakini pia unarubuniwa uhuru na haki zako za kikatiba katika kushiriki michakato ya kidemokrasia na vibaka wa siasa mchana kweupe, kama zuzu vile
 
Ni kweli lakini kila mtu anayo tunatofautiana level tu
Jitahidi sana uwe unasoma vitabu vya global economics ili uwe na upeo wa kukusaidia kuwa na Mawazo na maamuzi ya maana

Kuwa radical bila kuwa wel informed kutakunyima fursa ya kuishi maisha unayostahili na kuishia kuishi maisha ya wenye agenda zao

For us to progress rapidly, uwekezaji na mauzo ya mafuta should be done yesterday
 
Huna hoja yoyote we chawa endelea kupambania ugali wako.
 
Nimeisha kwambia wewe na wenzako ipo siku mifupa yenu itakuja kufukuliwa na kupiga pingu , Mungu amewalaani machawa wote
 
Vimekusaidia nini , kama akili ndo hii , alafu ndo mnajiita think tank ya Taifa,
 
Tumeisha uza vingapi mbona hatuoni matokeo? Deni la Taifa kwa sasa limefika sh ngapi?

Je mpaka sasa serikali inaweza kusimamia bajeti yake nyenyewe bila kutembeza bakuli?

Hili Taifa halitakuwepo baada ya miaka 200 ijayo , kwamba tuuze kila fulsa iliyopo? Haiwezekani
 
Vimekusaidia nini , kama akili ndo hii , alafu ndo mnajiita think tank ya Taifa,
Aisee vinasaidia sana tu

We should speed up Tate ya uwekezaji kwenye natural resources, kilimo na miundombinu
 
Kweli uko shallow

Je uchumi wa nchi yetu Kwa Leo ni kisi gani? Na tukilinganisha na 15 years ago tumepanda Kwa kiasi gani?
 
Kweli uko shallow

Je uchumi wa nchi yetu Kwa Leo ni kisi gani? Na tukilinganisha na 15 years ago tumepanda Kwa kiasi gani?
Ukoo wako wote , hakuna mwenye level niliyo nayo , sasa wewe ndo nani useme nipo shallow
 
Kujitoa muhanga ndiko kunafuata…labda ndio watasikia
 
Kwa hio hayo mafuta tuyaache tusiuze tujenge shule, viwanda, hospital na barabara bora ?

Niny ndo wazazi mnaopambana kubaki na ng'ombe wengi ili mrithishe watoto badala muuze mpate utajiri muwape watoto maisha mazuri na elimu bora,

Nyakati hubadilika
 
Acha linganisha izo nchi na kwetu ambapo ufisadi umetawala kwa kiwango cha lami, leo mkuu wa nchi anaweza shauriwa kuuza ila pesa nyingi zikabaki kwa mafisadi,

Kuna kizazi kitakuja kitafanya aya mambo kwa faida ya nchi sio kwa faida ya matumbo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…