4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
- Thread starter
-
- #61
Wewe ulisoma mwaka gani? Mwalim ametosomesha shule bure, nikiwa Tabora boys, wakati wa likizo tulilipiwa na uli ya kwenda na kurudi ,tulikula bure ,je aliuza au binafisisha mali asili zetu. Hospital hazikuepo, reli hazikujengwa, barabara hazikujengwa, acheni hoja nyepesi kwenye mambo ya msingiKwa hio hayo mafuta tuyaache tusiuze tujenge shule, viwanda, hospital na barabara bora ?
Niny ndo wazazi mnaopambana kubaki na ng'ombe wengi ili mrithishe watoto badala muuze mpate utajiri muwape watoto maisha mazuri na elimu bora,
Nyakati hubadilika
Ngese ilo anataka aje kuyachimba yule tumbo lissu .We kwl bwege, mafuta yachimbwe yatufaidishe
Ni KweliUkoo wako wote , hakuna mwenye level niliyo nayo , sasa wewe ndo nani useme nipo shallow
Lukasi part 2ni muhimu sana kua na heshima na nidhamu walau ya kibinadamu tu kwa viongozi wakuu wa Taifa letu,
mihemko, ghadhabu na chuki binafsi dhidi ya mipango mahususi ya serikali sikivu ya CCM kwa maslahi mapana ya waTanzania wote, sio turufu ya kukufanya umdhihaki kiongozi mkuu wa nchi.
Kumbuka,
kila zama na kitabu chenye hadithi yake, vitisho vyako tishianeni kwenye chama chenu gentleman 🐒
Jitokeze tufanye mdahalo live, taifa limebaki na watu wepesi sana ,type yakoNi Kweli
Uko shallow sana
Part 10Lukasi part 2
Hakuna cha chuki hapa, Rais sio wa ccm ni wa watz wote , acheni uchawa, tunapotoa hoja kwa Rais hatutoi hoja kwa Mwenyekiti wa ccm,narudia kueleza tena gentleman kwa faida yako na wadau wengine wa JF, kwamba,
mihemko, chuki binafsi na makasiriko yako dhidi ya dhamira na nia njema ya kipenzi cha waTanzania wote DR.Samia Suluhu Hassan, haviwezi kumzuia kiongozi huyo madhubuti wa nchi, kutekeleza mipango mikakati ya maendeleo kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Yale yote ambayo ni wazi yatawanufaisha waTanzania wote, yatatekelezwa kwa bidii na weledi wa kiwango cha juu sana bila kujali mayoye yako na ya wengine wa aina yako.
na ukamueleze na mwenyekiti wa chama chako kuhusu hili bila kificho
ndio usitoe povu sasa pale ambapo Rais Dr.Samia Suluhu Hassan anapotekeleza mipango mikakati ya kitaifa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote, kinyume na mtazamo wako binafsiHakuna cha chuki hapa, Rais sio wa ccm ni wa watz wote , acheni uchawa, tunapotoa hoja Rais hatutoi hoja kwa Mwenyekiti wa ccm,
Chawa wote Mungu amewapa laana ya milele,ndio usitoe povu sasa pale ambapo Rais Dr.Samia Suluhu Hassan anapotekeleza mipango mikakati ya kitaifa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote, kinyume na mtazamo wako binafsi
gentleman,Chawa wote Mungu amewapa laana ya milele,
relax LaprofeseriLukasi part 2
Uzuri pitia andiko hili umekubali we ni chawa uliepitiliza kuelekea kwenye kunguni,gentleman,
ikiwa umefikia ukomo wa kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala ni vizuri kusurrender na kupumzika kuliko kumbwelambwela na mambo ambayo mwenye kupanga na kuamua pumzi na uhai wetu ni Mungu pekee,
wewe mmatumbi wa msata, mshirikina na mpiga ramli huna la kufanya kwa yeyote
Muislamu hana akili wala uzalendo hata siku moja...hizo project zinaitaji viongozi wenye akili na wazalendoSio hoja....
Ni baba wa taifa aliyesimika jiwe la ujenzi wa mji mkuu wa kiserikali Dodoma....amekuja tekeleza hayati JPM(resty easy amen).....
Ni baba wa taifa aliyesimika jiwe la ujenzi wa bwawa la ufuaji umeme hapo Rufiji.... mtekelezaji amekuwa mwingine....
Kwanini mtekelezaji asiwe Rais Samia Suluhu Hassan katika tasnia ya mafuta yaliyojulikana toka awamu za nyuma yake ?!!
Gentleman,Uzuri pitia andiko hili umekubali we ni chawa uliepitiliza kuelekea kwenye kunguni,
Machawa na Makunguni yamelaaniwa milele asema Bwana
UkoThis is very stupid
Hizi fossils fuels soon zitapoteza maana… makala ya mawe tayari hayauziki Kama zamani - kama tungeuza wakati ule labda Leo tungekua mbali zaidi
Texhnology is changing very fast
Nadhani kuuza Kama nchi ni idea nzuri na tungeuza faster lakini pia tuwe na refineries zetu hapa nchini Kama alivyofanya Dangote
Kweli aisee! Dunia imehamia kwenye umeme wa gas na solar hata magar na mitambo pia vinatumia umeme! Uarabuni wenyewe wameanza kuwekeza kwenye utalii! Rasimali za kweli ni technology tu, na bila kuwekeza kwenye research na mabadiliko ya mfumo wa elimu hatuwez toboa! Mbuga za wanyama,madini,bandari hizo ni fallacy tu tulizoaminishwa ili tusiwekeze kwenye technology!This is very stupid
Hizi fossils fuels soon zitapoteza maana… makala ya mawe tayari hayauziki Kama zamani - kama tungeuza wakati ule labda Leo tungekua mbali zaidi
Texhnology is changing very fast
Nadhani kuuza Kama nchi ni idea nzuri na tungeuza faster lakini pia tuwe na refineries zetu hapa nchini Kama alivyofanya Dangote
Watu wanadhani dunia itatusubiri miaka 40 mbele au 50 mbele ndio tuuze,This is very stupid
Hizi fossils fuels soon zitapoteza maana… makala ya mawe tayari hayauziki Kama zamani - kama tungeuza wakati ule labda Leo tungekua mbali zaidi
Texhnology is changing very fast
Nadhani kuuza Kama nchi ni idea nzuri na tungeuza faster lakini pia tuwe na refineries zetu hapa nchini Kama alivyofanya Dangote
Tuna madini na gesi asilia na hakuna kilichofanywa na serikali ya ccm, nchi inategemea misaada, mafuta yatafanya nini?.Watu wanadhani dunia itatusubiri miaka 40 mbele au 50 mbele ndio tuuze,
Mafuta yauzwe leo leo asubuhi,
Zipatikane hela, vijengwe vyuo vikuu vikubwa, veta ziboreshwe, barabara zipigwe lami nyingi, hospital zijengwe za grade A,
Vizazi vijavyo tutawachia elimu bora, viwanda, na makampuni makubwa yatayozalishwa kwa sababu ya shughuli za uchumi zitazoletwa na mafuta
Ninasikitika kila kona itatawaliwa na wajombaHuyu mzanzibari