Tanzania sio tu masikini wa kutupwa EAC na SADC, wamechemsha pia kijeshi

Unabwabwaja maneno ya kwenye khanga tu mbona hujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna siku sijaonekana JF, mbona ninapost kila siku humu, halafu comment yangu kwenye huu uzi hadi raha mumeniquote nyote...huwa napata raha pale ninawagusa penyewe mnaniquote kila mtu kwa povu zake.
Halafu sijakuelewa hapo unasema nimekwepa uzi.
Tutajie mission gani tumeshindwa.
Tutajie vita gani tumeshindwa
Tutajie nchi gani inatusumbua
Tutajie nchi gani inaiba rasilimali zetu
Tutajie matusi gani tumetukanwa na makundi ya kihuni kama alshabab.

Yaani si kufuatana na Mozambique ambayo mwezi uliopita majambazi yalifunga miji mitatu, wakapora magari ya kijeshi na kutokomea misituni?

Never on earth.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu na hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

Cku hz tushajua tuwafanye nini mkileta shobo tunawabandua tu makalio yenu

Sasa hapo nijibu nini labda, maana mwanaume ukishajishusha na kuwa na mipasho kama ya wanawake wakati wanasukana nywele, inabidi upuuzwe, angalia sana jinsi huwa najibu hoja humu, huwa simjibu kila kajamba anayeniquote, nikiona umeniquote halafu nisome neno moja la kwanza nakua tayari nimetathmini uwezo wako wa kujadili hoja, napuuza vyote vingine ulivyoviandika ni kupita, ninaweza kukuta nimekua quoted na watu kumi humo najibu wawili tu.

Kunao hata huwa sihangaiki kusoma chochote wameandika wakati wameniquote, maana unakuta ni ushuzi mtupu usiofikirisha au kuchochea uwezo wangu wa kutumia ubongo, nilishawapuuza kitambo hadi labda wajiboreshe uwezo wa kutumia ubongo.
Ukiona namjibu mtu ujue kiaina nimemsoma ana uwezo wa kujadili hoja, hizi sio zama zile nilikua napelekeshana na kila kajamba anayetafuta kiki kwa kujibishana na mimi.
 

Kuna mission gani mumefanya? Maana huwa mnatembelea mgongo wa kupigana na wale watoto wezi wa M23, lile kundi lilikua linahusisha watoto kwenye vita na kuiba madini, walikua watu wa kuogopa vifo, na ndio maana ilikua rahisi kuwasambaratisha.

Vita vya leo vya udume ni dhidi ya magaidi wanaojitoa mhanga, ambao hawaogopi vifo na hawana haja ya madini wala nini, wanashambulia wakiwa kundi la wapiganaji kama 1,000 na wote wamekuja kufa, wanajilipua lipua mabomu, siku mkipambana pambano kama hilo ndio mjisifie, ila kwa sasa nyie ukanda wote huu ndio mliingiza mikia miguuni na kuogopa kwenda kusaidia Somalia, mataifa yote hadi Rwanda yametia guu pale. Mumekua aibu ya Afrika, ndio maana hata kwa rankings kama hizi mnashushwa kwenye mkia.

Huwa mnaimba imba vita vya Idd Amin, mnasahau yule alikua amaechukiwa na Waganda wote, hivyo wote akina Museveni na maelfu ya Waganda walihusika pakubwa kupigana dhidi yake kwenye hivyo vita, siku zote dikteta anapopigwa, raia huwa wanasaidia kwenye kumpiga, ila leo mjaribu kuivamia nchi ambayo raia wake wana uzalendo na hawajakichoka chama tawala, ndio muone inavyokua.
 
Pole sana kwa povu.

Hutujaogopa kwenda Somalia, tuna sababu zetu za msingi. Kama mnataka tuwasaidie, andikeni barua tutakuja. Tumeenda Sudan sembuse Somalia?

Nyie mpambane na hali zenu huko. Na ukumbuke, mmeamua kwenda Somalia baada ya alshababu kuwaadhiri na kdf kupora bidhaa super market. Ndipo mkaenda kwa hasira. Jiulize, kwa nini Alshabab hawajaweza kushambulia Tanzania ukiachilia mbali 1998 incidence? Hawajaweza kwa sababu, tuna jeshi imara.

Tanzania ukizungumza jeshi tuna maanisha jwtz, polisi, tiss, jkt, hadi prison huko. Tuko well organized, ndio maana hao alshabab walianza fyofyoko mkoa wa pwani, hadi sasa hawapo tena.

Tanzania inakukamata wakati na baada ya planning phase, ndío maana husikii ujinga kama wa huko kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina hakika na umri wako lakini ni wazi kuwa comment hii inawezekana uko chini ya miaka 20...Halafu ni wazi huijui Tanzania na hata nchi yako huenda huifahamu.

Unataja Zanzibar as if ni nje ya Tanzania...Zanzibar ni part and parcel ya Tanzania...Halafu Kama hujui Uganda wakati wa Iddi Amin was very powerful militarilly...He had almost 50 thousands soldiers many tanks, APCs , Migs...Halafu Amin hakuwa peke yake...Ghadafi alileta Askari vifaru na ndege kumsaidia.

Kile amacho hakujua ni kuwa almost every Tanzanian Alikuwa amepitia mafunzo ya kijeshi iwe ni JKT au mgambo vijijini, makazini na mitaani...When Tanzanians were mobilized for war Amin hakuamini..alipigwa right, left centre up and down...Binafsi niliwaona Askari wale wa Libys waliotekwa namna walivyosikitisha..thousands of Libya wakarudishwa kwao na Nyerere ...Uganda ikawa chini ya Tanzania na maraus wao wote wakawa wanaripoti kwa Nyerere..akina Paul Muwanga, Binaisa, Lule na Okello na hata Obote after his second coming.

Kwa hiyo wewe dogo usicheze na Tanzania...katika ukanda huu hakuna anayeweza na Tanzania...nyie nunueni tu vifaru, ndege na kadhalika.

Lakini Vita ni military tactics, patriotism, courage, will to fight, unity na able leadership...
 
Ukitaka kuujua ubabe wa Tz, Jiulize Kwa Nini Magenge Ya Wahalifu Hayatii Maguu Tz Kama Yanavowafuck Kenya Na Nchi Zingne East Africa?
 

Wazalendo na mataifa vongozi wa Afrika wametoka mbali Nigeria, Ghana, Afrika Kusini naa hata Kenya n.k. wote wametia guu Somalia kuwasaidia, nyie kwa uwoga wenu jirani wa Somalia mumetia mkia katikati ya miguu, mlishajichokea na kuwa aibu ya Afrika. Hata maskini mwenzenu Burundi alijitutumua kwenda kuwasaida wale kwa namna ya uwezo wake.

Mlishasahaulika kabisa nyie watu, makelele tu, hamtajwi kwa lolote la maana, sio michezo, elimu, kijeshi wala nini, mpo mpo tu, hili la corona ndio mkaangukia pua kabisa eti mnapima machungwa na maembe ili kutafuta pa kutokea muache kupima binadamu na kuwaacha wajifie.....hehehe
 
Kutajwa tajwa kwa njaa, cholera, ukabila, pests invasion, ushoga uliokithiri, ufisadi uliopindukia, kwenu mnaona sifa au co.
 
Uko out of topic kaka baba bluu., .,
Siyo OP KAKA ONESHA UZALENDO PENDA VYA KIAFRIKA KUHUSU JESHI HAYO NI MASWALA MENGINE (TOP SECRET) HAYAJADILIWI MTANDAONI .CHA MSINGI KUMBUKA KENYA NI NDUGU ZETU KWA SABABU KUNA MAASAI KENYA,WAKURYA,WAJALUO NA HAO WOTE NA TANZANIA WAPO.SIONI HAJA YA KUONESHA DOUBLE STANDARD KWA KUWA HIZI ZOTE EAC
 
Kweli we ni mpumbavu hivi nje ya kenya nani utamwambia ubora wa kijeshi Kenya ya 12 na TZ 24 akakuelewa
 
Wanakupeni sifa ili mzidi kununua mavyuma yao ,walichoangalia pesa zilizotumika kununua silaha katika kila Nchi Sasa cc tununue sulaha nyingi ya nini wakati amani imetawala walevi wote wanatuogopa hamna anaetuchokoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…