Yaani kenya ipo juu ya tz kijeshi? Napinga hili, al shabaab watatu tu waliwakalisha wakaishia kuiba mikate12, Uganda 13, nyie 24.., jitetee kwa mengine., Ethiopia are good in top 10., among the best in Africa, hakuna ubishi., nyie wakujisifu mlio pigwa mapanga kule Congo ndio nawamulika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiskia Kusheherekea upumbavu ndo hapa.
Waafrica tunashindanishwa kununua silaha zao alafu yupo pumbavu mmoja anaona sifa!!
Tz haina ndugu kenya mkuu, hawa co ndugu zetu amini kwamba.Siyo OP KAKA ONESHA UZALENDO PENDA VYA KIAFRIKA KUHUSU JESHI HAYO NI MASWALA MENGINE (TOP SECRET) HAYAJADILIWI MTANDAONI .CHA MSINGI KUMBUKA KENYA NI NDUGU ZETU KWA SABABU KUNA MAASAI KENYA,WAKURYA,WAJALUO NA HAO WOTE NA TANZANIA WAPO.SIONI HAJA YA KUONESHA DOUBLE STANDARD KWA KUWA HIZI ZOTE EAC
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi hapa si wali kabwa koo wakakimbia wakawaacha wamarekani watandikwe pekeyao, haaa haaa wakenya wanafiki sana hata kipindi cha kaburu walikuwa wanawasaidia makaburuHahaha tufanye kijeshi tupo nyuma ila jeshi letu limeshiriki opereshen nyingi za kung'oa waasi na hata viongozi shit nchi mbalimbali.
Bado tuna nafasi yetu ya kuheshimika katika swala la PK huko UN.
Miaka zaidi ya 30 nyuma tuliingia vitani na nchi jirani ikiwa inagewa msaada na Libya n tulishinda.
Fast forward today. Kenya ambayo ina jeshi imara, kali na lenye kujielewa kuliko yote duniani linasumbuliwa na kikundi kinaitwa Al Shabab.
Intelijensia mbovu. Wanachuo mamia wakafariki. Kwa kushindwa kuficha uhayawani wao leo hii kuna video ya wanajeshi wa Kenya wakiiba mikate katika hypermarket moja iliyokua imetekwa.
Jina wataitaja wenyewe. Shwain hawa.
Hili jeshi la Kenya ni hatari sana. Wakiamua wanaenda kuteka nchi ya China na kujisamehe mkopo unaotaka kuifanya kenya kua china ndogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi hapa si wali kabwa koo wakakimbia wakawaacha wamarekani watandikwe pekeyao, haaa haaa wakenya wanafiki sana hata kipindi cha kaburu walikuwa wanawasaidia makaburi
Ala! Tanzania wanacheza ligi ya South Sudan baada ya kubangua Koroshow na kuvunja mawe 😂😂😂😂😂Pitia Taarifa ya 2020 Global Military Ranking in Africa, wako below top 20, kazi ni kupiga kifua yenye hawana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
=======
African Military Strength (2020)
African countries ranked by potential military strength.
The GFP list makes use of over 50 factors in our in-house formula to determine a given nation's Power Index ('PwrIndx') score. This provides the final ranking while also allowing smaller, more technologically-advanced, nations to compete with larger, lesser-developed ones. Some bonuses and penalties are added for refinement that, in the end, we hope presents an unbiased look into the potential conventional military strength of a world power. Color arrows indicate year-over-year trend comparison (Rise, Neutral, Fall).
There are a total of 35 countries included in the African Military Strength (2020) listing.
Source: https://www.globalfirepower.com/countries-listing-africa.asp
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hakuna Vita TPDF ishaingia peke yake hata Ile ya Kagera na Komoro? Jeshi lenu ni hovyo tu si uliona vile walichinjwa kwa mapanga kule Kongo ila wako poa kubangua Koroshow 😉Nchi zenye asili ya kijamaa huwa haziweki bayana mambo yake, jaribu uone kazi yake.
Kaulize kilichowapataUnajua hakuna Vita TPDF ishaingia peke yake hata Ile ya Kagera na Komoro? Jeshi lenu ni hovyo tu si uliona vile walichinjwa kwa mapanga kule Kongo ila wako poa kubangua Koroshow [emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] milungi inawaharibu akili hawa watu, kuna clip moja niliwahi iona maafandeHili jeshi la Kenya ni hatari sana. Wakiamua wanaenda kuteka nchi ya China na kujisamehe mkopo unaotaka kuifanya kenya kua china ndogo
Museveni aliwasaidia kuingia Uganda. KDF iliingia Somalia peke yake pale Kismayu peke yake kifua mbere na kutandika na kuwaondoa Al shababe na kutengenezea Nchi zingine njia ya kuingia Somalia Kama vile UPDF, EDF, RPDF na wengine wengi ikiwemo Uturuki, United Arab Emirates na America.Kaulize kilichowapata
Museven alitusaidiaje wakati mafunzo tuliwapa sisi na mpka sasa hivi mafunZo tunawapa sisi tumezungukwa na nchi zinazotaka mali zetu lakini hakuna anayetusumbua jiulize ni kwa sababu gani.nyie wanajeshi wenu wanauawa na kulawitiwa na alshabab alafu mnasema mko vizuri.Museveni aliwasaidia kuingia Uganda. KDF iliingia Somalia peke yake pale Kismayu peke yake kifua mbere na kutandika na kuwaondoa Al shababe na kutengenezea Nchi zingine njia ya kuingia Somalia Kama vile UPDF, EDF, RPDF na wengine wengi ikiwemo Uturuki, United Arab Emirates na America.
Museven alitusaidiaje wakati mafunzo tuliwapa sisi na mpka sasa hivi mafunZo tunawapa sisi tumezungukwa na nchi zinazotaka mali zetu lakini hakuna anayetusumbua jiulize ni kwa sababu gani.nyie wanajeshi wenu wanauawa na kulawitiwa na alshabab alafu mnasema mko vizuri.
Kuna tofauti ya kubangua Koroshow ya wakulima kwa lazima na kuingia Vita bila usaidizi wowote.Museven alitusaidiaje wakati mafunzo tuliwapa sisi na mpka sasa hivi mafunZo tunawapa sisi tumezungukwa na nchi zinazotaka mali zetu lakini hakuna anayetusumbua jiulize ni kwa sababu gani.nyie wanajeshi wenu wanauawa na kulawitiwa na alshabab alafu mnasema mko vizuri.
Wee mtoto. Wacha hizo, my frndUnajua hakuna Vita TPDF ishaingia peke yake hata Ile ya Kagera na Komoro? Jeshi lenu ni hovyo tu si uliona vile walichinjwa kwa mapanga kule Kongo ila wako poa kubangua Koroshow [emoji6]
Kuna tofauti ya kubangua Koroshow ya wakulima kwa lazima na kuingia Vita bila usaidizi wowote.
View attachment 1460699View attachment 1460700View attachment 1460701