TANZANIA (taifa stars) vs CAMEROON !!!

Kupitia Mfano Huu.......! Wajameni Sasa Ndo Kusema Tbc Ni The Best Au ?
 
Mtangazaji anaisufu sana Taifa stars....hasa Henru Joseph kasema kamzidi maarifa sana midifilidi nguli geremi......huyu mtangazaji naona anamfananisha Etoo na Ronadilnho....
 
Last edited:
Kwi KWI Mtaalamu imekuwa netball hiyo?

maana nasikia source zasema mara mbili moja,mara mrwanda sijui mburundi kaweka kingine wakati fifa bado wananiambia moja moja
 
Nziku Na Wenzako Sosi Zenu Tuna Mashaka /Nina Mashaka Nazo....!

usiwe na mashaka mkuu sasa matokeo ni
Live Scoreboard 89' CMR Cameroon 1:1 Tanzania TAN
69' NGA Nigeria 1:0 Equatorial Guinea EQG
 
Ivo mweupe saaana ndio sasa marcio akumbeke kumuita kaseja....hili goli la kwanza kampa Etoo......hiki kijeba kudadadeki zake
 
Ivo mweupe saaana ndio sasa marcio akumbeke kumuita kaseja....hili goli la kwanza kampa Etoo......hiki kijeba kudadadeki zake
tupe basi matokeo Rasmi mimi source yangu inaonyesha 1 1
 
Mpira Umekwisha Tumefungwa Kwa Tabu 2:1

no matter hw u try to put it bado tumefungwa wajiminiiii tusijipe moyo haya tuendelee subiria eflu mbili na kumi na moja hukooo
 
Soka tumecheza japo refa katuuma......Henry Joseph si ajabu Arsenal wakamuita kwa majaribio....
 
Watazamaji wa mechi ya Leo, hawa hapa(16 members and 30 guests)
Bangusilo, hollo, mahesabu, Masatu, mr kiroboto, Mtaalam, Mtu Mzima, Mtu wa Pwani+, Mwiba, Nsololi, nziku, Sem, shedafa, wanzagi, Yo Yo
 
Kwa mujibu wa redio nasikiliza ni 2-1 tukiwa nyuma kwa 1...lakini bbc bado ngoma ni draw...daki 90+ kwa bbc

hiyo ni redio mbao kabisa kwa mujibu wa fifa.com ni 1 - 1 dakika ni za nyongeza
 
tupe basi matokeo Rasmi mimi source yangu inaonyesha 1 1
Mpira umekwisha ndugu Etoo anacheza sindimba uwanjani kama vile wamechukua kombe...Stars wamekubalika imagine na uchawi woote wa Younde lakini tumepiga kamoja.......
 
watazamaji Wa Mechi Ya Leo, Hawa Hapa(16 Members And 30 Guests)
Bangusilo, Hollo, Mahesabu, Masatu, Mr Kiroboto, Mtaalam, Mtu Mzima, Mtu Wa Pwani+, Mwiba, Nsololi, Nziku, Sem, Shedafa, Wanzagi, Yo Yo

Lakini Tunaangalia Ki-makengeza ....! Kwani Wengine Wako Nyuma Ya Muda.........!
Mpira Umeisha Wao Wanasema 1:1
Tokeni Huko Ulaya Na Kwengineko Halafu Hayo Myafanyayo Huko Myafanye Tanzania.....!
Ila Sio Kuuza Drugs....!
 
kwa jinsi staes walivyokuwa wamekamilika hawajafanya Sub hata moja...hawa sijui Simba wasiokuwa na meno wamefanya sub 3.......hiki kijeba IVO kimetuangusha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…