Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwi KWI Mtaalamu imekuwa netball hiyo?hebu kuweni serious wajimini....so ngapi ngapiii??kumi kumi ama?
Kwa mujibu wa redio hiyo hapo juu niliyoweka link mtagangazaji katangaza bao la 2.......hebu kuweni serious wajimini....so ngapi ngapiii??kumi kumi ama?
Nziku Na Wenzako Sosi Zenu Tuna Mashaka /Nina Mashaka Nazo....!
Kwa mujibu wa redio nasikiliza ni 2-1 tukiwa nyuma kwa 1...lakini bbc bado ngoma ni draw...daki 90+ kwa bbcngapi ngapi wazee?
tupe basi matokeo Rasmi mimi source yangu inaonyesha 1 1Ivo mweupe saaana ndio sasa marcio akumbeke kumuita kaseja....hili goli la kwanza kampa Etoo......hiki kijeba kudadadeki zake
Kwa mujibu wa redio nasikiliza ni 2-1 tukiwa nyuma kwa 1...lakini bbc bado ngoma ni draw...daki 90+ kwa bbc
Mpira umekwisha ndugu Etoo anacheza sindimba uwanjani kama vile wamechukua kombe...Stars wamekubalika imagine na uchawi woote wa Younde lakini tumepiga kamoja.......tupe basi matokeo Rasmi mimi source yangu inaonyesha 1 1
Kitu live mwana...sasa hivi wanashangilia kwa miziki ya MAPOUKAhiyo ni redio mbao kabisa kwa mujibu wa fifa.com ni 1 - 1 dakika ni za nyongeza
watazamaji Wa Mechi Ya Leo, Hawa Hapa(16 Members And 30 Guests)
Bangusilo, Hollo, Mahesabu, Masatu, Mr Kiroboto, Mtaalam, Mtu Mzima, Mtu Wa Pwani+, Mwiba, Nsololi, Nziku, Sem, Shedafa, Wanzagi, Yo Yo