Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono,
Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu,
Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru,
Tuhoji mapato viwanja vya ndege, tuhoji mapato ya madini yetu yanafanya nini na mikataba ya madini huko ikoje
Tuhoji mbuga za wanyama, vibali vya uwindaji, uvunaji wa wanyama unaendeshwaje na je una maslahi Kwa nchi yetu,
Kushabikia mambo ya nchi za watu ambao hawatufahamu ni shida ya akili,
Wewe unashabikia vita za urusi, mara unajifanya kutetea mambo ya iran, mara israel, mara ushabikie simba, mara yanga, hayo yote hayakuhusu , hebu hoji waeleze waweke mikataba ya bandari iwe wazi maana ile ni mali ya umma,
Mkiambiwa vizuri uporaji wa rasilimali za nchi hii hua hamuelewi, hakikisheni mnahoji mambo ya msingi hii ni faida ya vizazi vijavyo,