Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tatizo ni katiba mbovuUJINGA
Umasikini.
Maradhi.
Mmomonyoko WA MAADILI.
WIZI.
CCM.
SELIKALI.
JK.
Ufisadi.
Ujangili.
MAJINI.
DHARAU.
KIBURI
UCHAFU.
UPUMBAVU
MAJINI YA MASHEHE
Na mengineyo
1000,000.
Nani niliyemuita "mjinga"? Au na wewe unaleta ujinga wako?Acha kuita watu wajinga! Hebu kuwa na heshima kidogo humu kila mtu huchangia mada na mawazo tofauti tofauti kutokana na jinsi anavyofikiria.
Kutofautiana kifikra isiwe sababu ya kuitana watu wajinga. Na wala usifosi tuwe na mawazo mgando na yenye Udini mwingi kama yako.
Adui wa Tanzania ni katiba mbovu inazalisha chawa badala ya wataalamu, nchi inaendeshwa kwa maono ya Rais badala ya sheria na katiba
Kama ni yenu sasa unataka nani akupe!?Wote tunazijua tabia zitokanazo na ujinga.
Tunaitaka Bandari yetu.. period
Jaji warioba alileta warobaini matokeo yake wakubwa huwa hawataki hata kumuona hata kwenye event za kitaifa huwa haalikwi ni machawa pekee hualikwaAtaitengeneza nani hiyo nzuri? Labda tuwape DPW hiyo tenda. Kamati ya uandishi na huyu Mzaahamu Joharia
Upo sahihi mkuu dini zenyewe hizi ni za watu hata siyo zetuKuleta Udini kwenye ishu za kitaifa huo nao ni ujinga. Maslahi ya taifa hayawezi kutatuliwa na Udini. Na anayeamini aya ni mwenye PHD ya ujinga
we ajuza ni mjinga sn huwa nakuhurumia sn, weka masilahi ya nchi mbele badala ya ujinga wako na udiniPatengeneze pabovu. Ulikatazwa?
Nikueleze wewe na nani?haya tueleze kwa kutokuwa "mjinga" umeshafanya nini cha kukuondoa kwenye ujinga?
Mkataba mbovu upi unaouongolea wewe, kuongea kijumlajumla ni ujinga wa kukosa hoja.
We ajuza ile monthly pension imekufanya umekuwa mjinga sn waza kama mtu mwenye akili timamu"mwarubaini" wa ujinga? Upi huo?
Umemaliza?TATIZO wewe hujui kitu UNAJIDAI MJUAJI..
UPUMBAVU NDIO UPO KATI KATI UNAZUNGUKA YOTE HAYO...... ...
MTU HAJUI KIARABU anakuwaje muislam????????????
99% HAWAJUI Arabic ALAFU wanakuwa WA MWAMEDI.
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.
Udini ni pale unapoamini dini zinaweza kutatua matatizo yanayoikabili Taifa. Wakati dini ni imani ya mtu na wala halihusiani na muunganiko wa watu (sovereight).Nani niliyemuita "mjinga"? Au na wewe unaleta ujinga wako?
"udini" ndiyo nini?
Nashangaa huyu bibi anakazania udini kwenye ishu serious zinazoikabili taifa.Upo sahihi mkuu dini zenyewe hizi ni za watu hata siyo zetu
Hata hilo neno "taifa" usingelipata kama siyo mafundisho ya dini. Uliliytowa wapi hilo?Udini ni pale unapoamini dini zinaweza kutatua matatizo yanayoikabili Taifa. Wakati dini ni imani ya mtu na wala halihusiani na muunganiko wa watu (sovereight).
Hivi niambie nchi zilizoendelea kama USA ulishawahi kuona wakileta Udini kwenye masuala ya kitaifa??
Uislamu haihusiani na uarabu. Bali uislamu umeletwa kwaajili ya uongofu Dunia nzima. Uislamu maana yake ni unyenyekevu na wala haihusiani na uwarabu.TATIZO wewe hujui kitu UNAJIDAI MJUAJI..
UPUMBAVU NDIO UPO KATI KATI UNAZUNGUKA YOTE HAYO...... ...
MTU HAJUI KIARABU anakuwaje muislam????????????
99% HAWAJUI Arabic ALAFU wanakuwa WA MWAMEDI.
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.