Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

Tumesha vuka Level ya Ujinga sasa tupo kwenye LAANA ya ujinga.

Hata mataifa mengine walikuwa wajinga kama sisi, Lakini waka ukataa ujinga, wakapiga vita ujinga, waka jielimisha na ujinga na sasa wapo mbali sana kimaendeleo.

Sisi tuna miaka 62 ya kujitawala wenyewe na kujiongoza lakini Hakuna tuwezacho zaidi ya Ngono, Ulevi, Rushwa,Wizi, uhujumu uchumi, kujilimbikizia Mali na umbea.

Utanzania ni laana.
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Ujinga unatokana na Watawala.
Watawala Wana machawa, na machawa wanaishi kwa Kodi za walalahoi.

Watu hawahitaji kutumia AKILI kuishi. Maana Watawala hawaheshimu akili za kina Shivji.
Wanahitaji sifa tu kutoka kwa kina mwijaku, Steve Mengele, Shilole n.k.

Hao ndio wazalendo.

Wanaofanya kazi ya kusifia Watawala VS wanotumia Elimu na akili zao👇👇👇
 
Attachments

  • IMG_20230716_105321.jpg
    IMG_20230716_105321.jpg
    55.6 KB · Views: 6
  • FxPD2YDWAAQ7j1U.jpeg
    FxPD2YDWAAQ7j1U.jpeg
    34.1 KB · Views: 7
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.

Mtume alisema nyie wanawake ni Half Brain, alaf katika kutoa ushahidi ni lazima muwe wawili, ushahidi wa mwanamke mmoja hauaniniki.
 
Kwangu mimi ccm ndiyo adui yangu naamba 1. Halafu wengine wanafuatia. Yaani siku nikipata nafasi ya kukiua hiki chama, sitafikiria mara mbili.
 
Ujinga unatokana na Watawala.
Watawala Wana machawa, na machawa wanaishi kwa Kodi za walalahoi.

Watu hawahitaji kutumia AKILI kuishi. Maana Watawala hawaheshimu akili za kina Shivji.
Wanahitaji sifa tu kutoka kwa kina mwijaku, Steve Mengele, Shilole n.k.

Hao ndio wazalendo.

Wanaofanya kazi ya kusifia Watawala VS wanotumia Elimu na akili zao👇👇👇
Kwani shivji si alikuwepo toka utawala kwanza?

Wewe unamuona wa maana leo upo utawala wa 6?

JiuoiE tawwla z I te 5 zilozopita kwanini hazikumsikiliza?

Mimi nasema, hawa maprofesa kama Shivji ndiyo waliokuwa wanafundisha ujinga vyuoni na sasa wanaendeleza kuwajaza ujinga jamii.
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Uko sahihi mkuu, hata wajinga wanadhani wanaweza kuongoza, wanatumia wizi wa kura ili waongoze, matokeo yake tunayona sasa
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Ujinga ni adui Kwa Watanzania wanaojitambua, lakini ujinga ni rafiki mkubwa wa CCM.
 
Dini inamtesa sn
Wa missionary wa kikristo walituletea elimu ya kufuta ujinga, ndani ya shule zao wakawa wanabatiza watoto wa Kiislamu kwa "udini" ili wawape elimu mathalan Samuel sitta kutoka kuitwa juma kubatizwa, mifano ni mingi huenda mkachukia alichotanabaisha muandishi lakini ndio ukweli huo, Dini hutesa na Huleta furaha pia "Eloi Eloi lama sabaktan" alilia Yesu kilio hicho alipoteswa msalabani kwa mujibu biblia
 
Kwani sahivi kuna ukoloni mkuu?
 
Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?
Mkuu hawa ccm wanapofanya UFISADI haya hawaangalii kabisa!
wao wanachoangalia ni kile kinachoingalia mfukoni mwao!
hawa watu sio wa kuendelea kuwachekea hawa ccm ni watu hatari sana!
 
Nimefurahi kuwa hujapingana na hoja yangu ya kuwa adui wetu ni ujinga tu.

Hongera.
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
NDUGU TUNAMSHUKURU MUNGU KWA SASA TANZANIA TUMEJITAHIDI KUUPUNGUZA UJINGA KWA ZAIDI YA ASILIMIA HAMSINI. NA HATA VIONGOZI WETU KWA ASILIMIA ZAIDI YA THEMANINI WAMEFUTA UJINGA. TUNA VIONGOZI WEREVU KUANZIA NGAZI YA VIJIJI HADI TAIFA. WATANZANIA WAMEAMKA WANAELEWA MAANA YA ELIMU. NDIYO MAANA HATA UKIGOMBEA UBUNGE WATAHOJI JUU YA ELIMU YAKO, JE, ANA DEGREE? UDIWANI, JE, AMEHITIMU SEKONDARI? HIYO NDIYO HALI HALISI.
CHANGAMOTO ILIYOPO NI UWEPO WA MIFUMO MIBOVU YA UENDESHAJI WA NCHI. MIFUMO HII INASABABISHA KUSTAWI KWA ROHO YA UFISADI KWA WATANZANIA KUANZIA NGAZI YA KIJIJI HADI TAIFANI. UBINAFSI, UCHOYO, WIVU, ROHO MBAYA, NA MENGINE YANAYOFANANA NA HAYO AMBAYO KWA JUMLA HUFUNGWA KWENYE KIFURUSHI KIMOJA, UFISADI (CORRUPTION). WATANZANIA TU MAFISADI USIPIME. MTU YUKO RADHI KUPORA PESA ZA KUNUNULIA MADAWA HOSPITALI ILI ANUNUE GARI LA ANASA LA KUTEMBELEA. UNAKUWA KWENYE YADI YAKE ANA MAGARI ZAIDI YA NANE ILHALI YUKO YEYE MKEWE NA WATOTO WAWILI TU. UFISADI HADI MAKANISANI. ASKOFU ANAKUWA NA PESA BENKI ZAIDI YA 8Bn/= NA ZAIDI YA 300m/= KWENYE MADIABA SADAKA NA ZAKA ZA MASKINI ANAZITUMIA YEYE NA FAMILIA YAKE KWA SAFARI ZA ANASA KUZUNGUKA DUNIANI! NI SHIDA.
KWA HIYO SUALA LA UJINGA HALIPO NDIYO MAANA UNASHUHUDIA WATU WANAHOJI KUHUSU BANDARI. MIMI MWENYEWE HAPA HUWEZI AMINI NAANDIKA NI MWANAKIJIJI KUTOKA MKOA NA WILAYA NA KIJIJI CHA PEMBEZONI MWA NCHI HASWAA!
CHANGAMOTO NI MIFUMO INAYORUTUBISHA UFISADI (TAMAA ILIYOPINDUKIA MIPAKA).
 
Kwani shivji si alikuwepo toka utawala kwanza?

Wewe unamuona wa maana leo upo utawala wa 6?

JiuoiE tawwla z I te 5 zilozopita kwanini hazikumsikiliza?

Mimi nasema, hawa maprofesa kama Shivji ndiyo waliokuwa wanafundisha ujinga vyuoni na sasa wanaendeleza kuwajaza ujinga jamii.
Alishashika nafasi gani ya Maamuzi?
 
NDUGU TUNAMSHUKURU MUNGU KWA SASA TANZANIA TUMEJITAHIDI KUUPUNGUZA UJINGA KWA ZAIDI YA ASILIMIA HAMSINI. NA HATA VIONGOZI WETU KWA ASILIMIA ZAIDI YA THEMANINI WAMEFUTA UJINGA. TUNA VIONGOZI WEREVU KUANZIA NGAZI YA VIJIJI HADI TAIFA. WATANZANIA WAMEAMKA WANAELEWA MAANA YA ELIMU. NDIYO MAANA HATA UKIGOMBEA UBUNGE WATAHOJI JUU YA ELIMU YAKO, JE, ANA DEGREE? UDIWANI, JE, AMEHITIMU SEKONDARI? HIYO NDIYO HALI HALISI.
CHANGAMOTO ILIYOPO NI UWEPO WA MIFUMO MIBOVU YA UENDESHAJI WA NCHI. MIFUMO HII INASABABISHA KUSTAWI KWA ROHO YA UFISADI KWA WATANZANIA KUANZIA NGAZI YA KIJIJI HADI TAIFANI. UBINAFSI, UCHOYO, WIVU, ROHO MBAYA, NA MENGINE YANAYOFANANA NA HAYO AMBAYO KWA JUMLA HUFUNGWA KWENYE KIFURUSHI KIMOJA, UFISADI (CORRUPTION). WATANZANIA TU MAFISADI USIPIME. MTU YUKO RADHI KUPORA PESA ZA KUNUNULIA MADAWA HOSPITALI ILI ANUNUE GARI LA ANASA LA KUTEMBELEA. UNAKUWA KWENYE YADI YAKE ANA MAGARI ZAIDI YA NANE ILHALI YUKO YEYE MKEWE NA WATOTO WAWILI TU. UFISADI HADI MAKANISANI. ASKOFU ANAKUWA NA PESA BENKI ZAIDI YA 8Bn/= NA ZAIDI YA 300m/= KWENYE MADIABA SADAKA NA ZAKA ZA MASKINI ANAZITUMIA YEYE NA FAMILIA YAKE KWA SAFARI ZA ANASA KUZUNGUKA DUNIANI! NI SHIDA.
KWA HIYO SUALA LA UJINGA HALIPO NDIYO MAANA UNASHUHUDIA WATU WANAHOJI KUHUSU BANDARI. MIMI MWENYEWE HAPA HUWEZI AMINI NAANDIKA NI MWANAKIJIJI KUTOKA MKOA NA WILAYA NA KIJIJI CHA PEMBEZONI MWA NCHI HASWAA!
CHANGAMOTO NI MIFUMO INAYORUTUBISHA UFISADI (TAMAA ILIYOPINDUKIA MIPAKA).
SI TUNAHABARISHWA NA AKINA ASKOFU MWAMAKULA KWAMBA HATA HILI LA BANDARI WENZETU WAMEPATIWA PESA NYINGI SANA KUPITISHA MKATABA. SASA HIYO SI HATARI?
UFISADI NI TABIA YA KISHETANI KABISA. TAMAA YENYE UBINAFSI ULIOPINDUKIA MIPAKA.
 
Back
Top Bottom