Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Na wajinga zaidi ni CHADEMA ambao wakihongwa na karamagi wa tics wanashirikiana na maaskofu wa kihaya kukataa uwekezaji wenye tija kubwa sana na taifa.
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu.
 
Kuendelea kuwepo kwa ccm miaka yote pia ni matokeo ya ujinga na sio kupendwa
 
Na mmemalizia ujinga wenu kwa kuuza Bandari..
Laana nyinyi..
 
Uko sahihi mkuu, hata wajinga wanadhani wanaweza kuongoza, wanatumia wizi wa kura ili waongoze, matokeo yake tunayona sasa

Nimefurahi mpaka sasa hoja yangu hujaipinga, adui yetu ni ujinga.

Huo wa "kuibiwa" kura chaguzi zote na mahakama zipo, za kitaifa na kimataifa, na wanasheria unao huzitumii. Au huwaamini wanasheria wako kwa ujinga wako au wao?
 
Ujinga ni adui Kwa Watanzania wanaojitambua, lakini ujinga ni rafiki mkubwa wa CCM.
Ni vyema kuwa umeunga mkono hoja yangu, adui yetu mkuu na wa pekee ni ujinga.

Sasa jifikirie wewe unaeongozwa na serikali ya wajinga, tukuiteje? Mjinga wa wajinga? au Siyo?
 
Kuona mtu ni Bora kuliko mwingine nayo ni ujinga au Kuona dini Moja (ambayo umeikuta) ni Bora kuliko nyingine ( ambayo nayo umeikuta ) ni ujinga pia
 
Nimefurahi mpaka sasa hoja yangu hujaipinga, adui yetu ni ujinga.

Huo wa "kuibiwa" kura chaguzi zote na mahakama zipo, za kitaifa na kimataifa, na wanasheria unao huzitumii. Au huwaamini wanasheria wako kwa ujinga wako au wao?
Majaji wanaoteuliwa na wajinga utawaamini?
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Ccm ndio baba na mlezi wa huo ujinga.
 
Mfumo wa kutoa watu ujinga umekuwa chanzo cha kuongeza kiwango cha ujinga, mtu akiwa na Elimu kubwa anazidi kuwa mjinga zaidi, basi tuu ni ujinga ujinga, ndomana uzi huu ni wa kijinga na mawazo yangu ni yakijinga pia, ili mradi tuu ujinga
 
Ukonga ndo kama serikali ya awamu hii kusaini mkataba wa kimangungo na DP world
 
Usituamshe tuliolala ujinga wetu Wananchi ndio mtaji mkubwa wa Walanchi, Sote tungekuwa tumeelimika Walanchi wangetupata wapi sisi kina "Ndiyo Mzee"
Ujinga hoyeeee!!!
 
Back
Top Bottom