Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

Udini ndio njia pekee ya kufuta ujinga. Hutolielewa hilo kwa ujinga wako.

Nikikuuliza ni nini maana ya "udini" unapata kigugumizi kama wanasheria wenu wabovu.

Maana nimeambiwa mbeya huko ni viruko pia, hakuna lolote la maana, chumba kinanuka pombe.

Mithali 1:7​

Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Oh, Wow!
 
CCM ni mlezi wa ujinga, maradhi, umaskini, ufisadi, wizi, mikataba mibovu, na Udini.
 
Mwenzangu na mie njo nkupe soda. Lakini kwanza je kweli haya chama mwaigawa zenji ipate mamlaka kamili kichama? Si ni ile ndoto ya Amani Karume hii? Basi Ali Karume kuisema tu katolwewa kadi🤣🤣🤣🤣
 
Kumbe "ujinga ni tusi?

Basi mzee yule alitutukana sana?

Nimefurahi kuwa hujapingana na hoja yangu. Ujinga ni adui yetu pekee kwamiaka zaidi ya 60 tokea uhuru wa Tanganyika.
Usinilishe maneno tafdhali. Kiuhalisia, hauna hoja na hivyo kunifanya ni kujibu kwa 'kiimtazamo' kana ulivyofanya wewe na wenzako.

Btw, this thread has nothing to do with Mzee Karume au Nyerere au Kawawa au Wasira au yeyote yule anayeangukia kwenye hiyo category ya wazee.

Hatahivyo, nilichokuwa nakitegemea kutokea baada ya Uzi ule wa kuhusu Seckrtarieti ya Bunge, limetokea, nako ni kwa Nyuzi zenye Kudhihaki na kuwanyanyasa Watanzania.

Huna hoja.
 
Ila kweli... Imagine kuna baba huku kwetu kila siku mtoto anaomba hela ya mtihani 1500 hana na mtihani ni Jumamosi ya kila wiki.....

Na baba kila siku anakuja na kitimoto kilo..
 
Siku hii nchi ikawa serious ndipo huo ujinga nao utaondoka ila kinyume na hivyo tutaendelea kuwaimba hao maadui hadi mwisho, tungekuwa serious tungewaondoa hao maadui ila toka watangazwe hao maadui hadi leo wamekuwa ni sehemu tu ya maisha yetu na si maadui zetu tena.
 
Ila kweli... Imagine kuna baba huku kwetu kila siku mtoto anaomba hela ya mtihani 1500 hana na mtihani ni Jumamosi ya kila wiki.....

Na baba kila siku anakuja na kitimoto kilo..
Hatupo serious tu mkuu hata serikali yetu nayo ndio hivyo hivyo.
 
SI TUNAHABARISHWA NA AKINA ASKOFU MWAMAKULA KWAMBA HATA HILI LA BANDARI WENZETU WAMEPATIWA PESA NYINGI SANA KUPITISHA MKATABA. SASA HIYO SI HATARI?
UFISADI NI TABIA YA KISHETANI KABISA. TAMAA YENYE UBINAFSI ULIOPINDUKIA MIPAKA.
Mkuu una toa maoni na kuji Quote mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
ILI KUONDOKANA NA UJINGA LAZIMA KWANZA TUMJUE ALIYETULETEA HUO UJINGA.
BINAFSI NAAMINI CCM NDIO ILIYOTUFANYA TUWE WAJINGA MPAKA LEO.NA CCM INAJITAHIDI KUONGEZA IDADI YA WAJINGA ILI IWATAWALE.NA ILI TUONDOKANE NA UJINGA NI LAZIMA CCM IONDOKE KWANZA.
KWA SASA KUNA ONGEZEKO KUBWA LA WAJINGA TOKA VYUONI AMBAO PAMOJA NA KUSOMA KWAO BADO HAWAJUI KWANINI UMASIKINI UPO LICHA YA NCHI KUWA NA RASLIMALI KILA MKOA .
 
Wajinga kama wewe Takadini ndio mtaji muhimu wa Ccm.

Ccm ni laana kwa Taifa letu.
 
Andika kwa herufi ndogo, herufi kubwa hutumika kwa matangazo na ilani.

Unatupigia kelele kijinga.
 
Wajinga kama wewe Takadini ndio mtaji muhimu wa Ccm.

Ccm ni laana kwa Taifa letu.
Mbona unapingana na Biblia tena? Soma na ni aliye na laana kwa mujibu wa Biblia, Waislam tunasema hapana, huyu aliyeandika haya ni muongo:

Gal 3:13-14 SUV​

Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti; ili kwamba baraka ya Ibrahimu iwafikilie Mataifa katika Yesu Kristo, tupate kupokea ahadi ya Roho kwa njia ya imani.

Wewe unakubaliana na biblia?
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Mimi nikiulizwa mjinga namba mmoja naweza kuona ni ww
 
Back
Top Bottom