Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

Lakina Faiza, Kiingereza kwa mtu wa PhD ilikuwa ni medium ya instruction katika masomo yote kuanzia Form Four, nafikiri lugha sio tatizo ni ujinga kama unavyosema. Yaani Prof unaulizwa swali lililotokana na witness statement uliyoandaa mwenyewe unajibu tofauti, ukiulizwa sababu unasema serikali imeamua kuwa linient kwa investers wake katika gesture ya ajabu.
Mtu akiwa mwongo asiwe na ugonjwa wa kusahau vile vile
 
Ni ujinga kwakweli,Kukodisha bandari kwa mkataba usio na mwisho na hatari
 
Watanzania asilimia kubwa,wanapenda mambo ya kijingajinga,na yatapewa,kipaumbele

Ova
 
Ni ujinga kwakweli,Kukodisha bandari kwa mkataba usio na mwisho na hatari
Ile kuitoa tu bandari na kuwapa watu wengine waendeshe, tayari inainesha tanzania kuna wajinga mambugila wezi wavivu maana wameshindwa
Sisi tunachojuwa ni kukatika masingeli na kucheza amapiano tu

Ova
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Ujinga kuanzia Kwa viongozi Hadi raia
 
Kichwa cha mada kinajielezea.

Ni zaidi ya ujinga [ignorance]. Ni upumbavu [stupidity].

Rais Samia karuhusu mikutano ya vyama vya siasa.

Rais Samia kavipa vyama vya siasa ruzuku.

Rais Samia kamlipa Tundu Lissu stahiki zake za kibunge.

Rais Samia katoa mabilioni huku na kule.

Watu ambao mtu unaweza kudhani kuwa wana uelewa wa msingi tu wa jinsi ambavyo serikali inaendeswa, ndo wanaoongoza kwa huu upumbavu.

Sasa pata picha ya raia wengine ambao labda hawana uelewa wa kutosha kuhusu elimu ya uraia kwa ujumla.

Kama wale wanaoonekana kuwa na uelewa ndo wanaoongoza kwa upumbavu na ushabiki wa kujitoa akili, nchi hii Ina matumaini gani yaliyo halisi ya kupata maendeleo?

Matakwa ya kikatiba na kisheria siyo fadhila wala hisani ya Rais Samia wala Rais mwingine yeyote yule.

Kama hao chawa wa Samia wanayachukulia hayo matakwa ya kikatiba na kisheria kuwa ni hisani na fadhila ya huyo mama yao, basi huyo mama ni dikteta.

Maana kwenye udikteta huwa hakuna cha katiba wala sheria. Ni mwendo wa amri, hisani, na fadhila za dikteta tu.

Tanzania tuna idadi kubwa sana ya wajinga, wapumbavu, na mazuzu, wakiwemo viongozi wa serikali na vyama.

Na ndo maana si bahati mbaya kuwepo kuwa kwenye hali tuliyonayo.

Sasa wewe mbona umehororoja na kubwabaja porojo za ujinga bila kuonesha huo werevu ni upi.

Sasa kama huo wako si ujinga pia ni nini?
 
Kuna kundi la Wabunge wanawake wanapita wakiitisha mikutano ya UWT kule Kilimanjaro.

Changamoto inayowapata ni kubwa na wanaonewa huruma.
Wanachapwa maswali na wanashindwa kujibu.

Kwa hali hii CCM ijitafakari na inatumie mbinu Chagua na nyingi ila kufanikiwa ni ziro.

Jana tarehe 30.7.2023 Akiwa Kata ya Karanga ,Moshi Mjini, Kilimanjaro Mbunge tajwa hapo Juu aliaibika baada ya kuulizwa maswali na akina mama kuwa :

1. Swali la kwanza : Kwanini mkataba umewabagua wenzetu wa zanzibar?

Jibu: DP world anazijua bandari Za Mombasa na Dar tu.

2. Swali la pili: Aliulizwa je huu ulio sainiwa na Rais na bunge ni mkataba au ni makubaliano?

Jibu: Ni mazungumzo tu.

Kwa hali hii, ninaishauri CCM ijitafakari kipindi cha ndiyo mzee kilishapita.

Baada ya kuona maswali yanamzidi nguvu alikimbia mkutano Akiwaacha wamama kikaoni bila kuwapa nauli ya kurudi makwao ila waliambulia soda moja moja fedha ambazo hazijulikani atazirejeshaje au alitumwa na nani.

Mbunge Zuena ameonyesha hana Hata uwezo wa kuwa mbunge licha ya kuzungumzia mkataba.

Hata lugha ya malkia iliyotumika kuandaa mkataba huo Mbunge Huyo ameshindwa kuisoma.

Ni aibu kwa Kweli.
Uongo mtupu.

Mkutano wa hadhara usio hata na video clip?

Hivi unafikiri sote tuna ujinga ulionao wewe?
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Adui yetu mkubwa Bi Faiza, mimi kwa maoni yangu ni CCM. Kimetawala miaka yote kwa kuwafanya wananchi ndondocha☹
 
Ujinga kuanzia Kwa viongozi Hadi raia
Tumewaona kina magufuli za wataalam wake kina mhongo na kabudi wakibadili sheria za madini mwaka 2018 halafu hizohizo sasa zinatuchapa viboko tunalipa mabilioni. Umeziona kesi za madini zilizopo ICSID, jamaa wameliona tobo kweye za hao ma dokta na maprofesa sheria wanalitumia vilivyo na hatuna ujanja.

Hapo vipi?
 
CCM ndiye adui yetu mkubwa. Ameweka mikakati ya kutufanya ndondocha ili atutawale milele. Ndiyo maana hakuna kitu kinachofanikiwa. Njoo kwenye elimu ni majanga, uchumi majanga bado tumekuwa omba omba. Ajira hakuna pia kwa sababu zao la elimu ni semi or uncooked hence not fit for the marketplace. Mpango wowote unaoandaliwa ni kusudi wananchi waendelee kuwa wajinga waimbe pambio tuu ili watawaliwe bila jasho
CCM inaendeshwa na Watanzania kama Watanzania wengine. Wengi wa wapinzani kama si wite walitokea hukohuko CCM, waliifanyia nini nchi?
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Ujinga siyo adui adui mkubwa tanzania ni mmoja naye ni upumbavu .....cheki mtu anaona fahari kuongwa PHD YA KUCHAMBIA KWA YEYE KUTOA BANDARI huo siyo ujinga bali ni upumbavu ulio dhahili
 
Tutabaki kuwa wajinga mpaka kaburini.
Ila ukweli usemwe waisiharamu ndiyo wapumbavu zaidi wanapo kuwa kwenye uongozi wa nchi.....tatizo siyo ujinga bali ni viongozi wapumbavu.
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.

Umenena sina cha kuongeza ni 100% na zaidi! Kila mjinga ni mjuaji pia anapenda argument na hana hoja anahorojeka tu. Mijadala na wabongo imekuwa inaboa kuliko chochote, utachangia mara moja then vinavyofuata ni uharo tu unaacha hata kurudi.
 
Back
Top Bottom