Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?
Nani huyo, Profesa Abdulkarim Mruma?
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Tuwe wakweli uongo ni adui mkumbwa wa Tanzania na ukiangalia hiyo kesi masaa yote utaona kuwa hata wangezungumza kipare wasingeweza kuhalalisha uongo kuwa ukweli. Adui mwingine ni rushwa na watawala waovu na watu kuajiri ndugu zao wasio na umwezo wa kazi walizopewa na watumishi wa uma wanaoshindwa kufanya maamuzi ya haki bila kutegemea maslahi yao
 
haya tueleze kwa kutokuwa "mjinga" umeshafanya nini cha kukuondoa kwenye ujinga?

Mkataba mbovu upi unaouongolea wewe, kuongea kijumlajumla ni ujinga wa kukosa hoja.
Ukijaribu kuondoa ujinga kwenye jamii hii iliojaa wanafiki na machawa lazma utaonekana mwana harakati na mhaini. In that manner you will lose yoir freedom or life!

Adui anayetutesa miaka nenda rudi anajulikana na ndie ametufanya tufikie hapa tulipo.
 
Mbona unapingana na Biblia tena? Soma na ni aliye na laana kwa mujibu wa Biblia, Waislam tunasema hapana, huyu aliyeandika haya ni muongo:

Gal 3:13-14 SUV​

Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti; ili kwamba baraka ya Ibrahimu iwafikilie Mataifa katika Yesu Kristo, tupate kupokea ahadi ya Roho kwa njia ya imani.

Wewe unakubaliana na biblia?
 
Attachments

  • FB_IMG_1685332802633.jpg
    FB_IMG_1685332802633.jpg
    51.2 KB · Views: 6
Ukijaribu kuondoa ujinga kwenye jamii hii iliojaa wanafiki na machawa lazma utaonekana mwana harakati na mhaini. In that manner you will lose yoir freedom or life!

Adui anayetutesa miaka nenda rudi anajulikana na ndie ametufanya tufikie hapa tulipo.
Wewe mbona unanicheka kila wakati unaniona mie mjinga au nisaidie niondoe ujinga ni baki upumbavu
 
Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha

Madam hii Aya nimeshindwa kuielewa ufafanuzi tafadhari.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Mkuu Madam ufafanuzi WA hizi paragraph mbili nimejaribu kuelewa ulichokuwa unamaanisha nimeshindwa kuelewa , kwa hiyo hata mada nimeshindwa kuichangia, ufafanuzi wako tafadhari.
 
Wewe mbona unanicheka kila wakati unaniona mie mjinga au nisaidie niondoe ujinga ni baki upumbavu
🤣Upumbavu ndio worst. Ujinga unatibika ukielimishwa😀😀😀 ila upumbavu ni sawa na uhayawani.
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.

Umeandika vizuri ila umemalizia kijinga, with some few idiotic remarks eg do you need to see the ocean/sea/lake before you comment on the best ways to run the port?
All in all nakubaliana na wewe kwamba kiwango cha ujinga na ujuaji wa mtanzania, kimetukuka
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Hata wewe ni mjinga kabisa, eti unasema watu wasihoji bandali kisa tu hawajawahi kuiona bahari! Huko shule ulisomea ujinga?
 
Lakina Faiza, Kiingereza kwa mtu wa PhD ilikuwa ni medium ya instruction katika masomo yote kuanzia Form Four, nafikiri lugha sio tatizo ni ujinga kama unavyosema. Yaani Prof unaulizwa swali lililotokana na witness statement uliyoandaa mwenyewe unajibu tofauti, ukiulizwa sababu unasema serikali imeamua kuwa linient kwa investers wake katika gesture ya ajabu.
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Na mjinga no. 1 ni wewe
 
Katiba hii ndiyo inalinda wajinga na kuwabagua wenye akili. Tubadili Katiba ili wenye akili watusaidie kuondoa ukijinga
 
Ujinga wako wewe uisingizie katiba?

Katiba haikupi haki ya kumchaguwa kiongozi umtakae?
 
hajaanza yeye, mimi naona wale wanaochora picha, wansema huyu ni mama'ke Yesu, sijawahi kumuona huyo mama'ke Yesu kachorwa bila ushungi. Wewe umewahi kuiona michoro ya mama'ke Yesu bila ushungi?

Au ni ujinga tu umekurtuma kubwabwaja na kuhororoja bila mpango??
Ujinga ni cheo NAWEWE umeamua kunipandisha hazi nakushukuru Mama ushungi
 
Back
Top Bottom