Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

Naunga mkono hoja. Ni ujinga huu huu ndio una waganga watanzania wengi wawe washirikina na ROHO za kwanini
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Ujinga zaidi ni kuamini haya maneno katamka Mungu!!!!!!!! Huyu siyo Mungu ukitumia akili ya kuzaliwa!!!!!!!!

Waislamu

Al-Baqarah (2:120)

وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّـهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ ﴿١٢٠﴾

"Hawatakuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila zao" (2:120)

Wakristo

Isaya 34

2
Maana Bwana ana ghadhabu juu ya mataifa yote, na hasira kali juu ya jeshi lao lote; amewaangamiza kabisa, amewatoa waende kuchinjwa.

3
Watu wao waliouawa watatupwa nje, na uvundo wa maiti zao utapaa juu, na milima itayeyushwa kwa damu yao.

Eti, huyo ni Mungu?????????????????? Au ndiyo ujinga wa kurithishana??????????????
 
Kuna kitabu kimoja nilikisoma, kinasema watu weusi bado wako kwenye 'stage' ya 'evolution of man' kuelekea kuwa binadamu kamili, labda tukifika huko mambo yatakuwa sawa.
 
Ujinga zaidi ni kuamini haya maneno katamka Mungu!!!!!!!! Huyu siyo Mungu ukitumia akili ya kuzaliwa!!!!!!!!

Waislamu

Al-Baqarah (2:120)

وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّـهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ ﴿١٢٠﴾

"Hawatakuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila zao" (2:120)

Wakristo

Isaya 34

2
Maana Bwana ana ghadhabu juu ya mataifa yote, na hasira kali juu ya jeshi lao lote; amewaangamiza kabisa, amewatoa waende kuchinjwa.

3
Watu wao waliouawa watatupwa nje, na uvundo wa maiti zao utapaa juu, na milima itayeyushwa kwa damu yao.

Eti, huyo ni Mungu?????????????????? Au ndiyo ujinga wa kurithishana??????????????
Ni vyema sana kuwa hoja yangu ya adui wetu ni mmoja ujinga tu.
 
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti.

Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kenehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa.

Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote yanayojiri sasa hivi. Tumefikikia kubishana kijinga kabisa, kuna watu wanabishana kuhusu biashara, hajawahi kyufanbya biashara toka kuzaliwa. Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.

Kuanzia jana nimekaa natazama wanasheria weu wamakwenda baraza la usuluhushi la Kimataifa, mpaka kichefuchefu, mtu unajiuliza walienda kufanya nini kama siyo kuendelea kututia hasara?

Hivi walilazimishwa kuongea Kingereza? Si wangeomba watapta? Mpala nimeona kichefuchefu, hivi waziri aliyewapeleka hauoni huu utu mbi wanaoufanya huko? Dah! Inatisha.

Naamini kabisa kutoka ndani ya moyo wangu, hatuna adui umasikini, hatuna adui maradhi. Adui yetu ni mmoja tu, ujinga. Watanzania tu wajinga wa hali ya juu.

Ujinga unatufanya tuwe na maradhi, ujinga unatufanya tuwe masikini, ujinga unatufanya tuwe wezi, ujinga unatufanya tuwe na kila baya.

Tufanye nini kuondokana na adi ujinga?

Nasubiri majibu ya kijinga.
Kaongezeka pia mama ushungi
 
Umeandika vyema kabisa adui mkubwa wa Tanzania ni ujinga. Tanzania Kuna ujinga mkubwa sana!
 
Bora mjinga KULIKO mwerevu mdini
 
Nafurahi sana , mpaka sasa hakuna aliyepinga kuwa adui yeti ni Ujinga tu.

Naamini, nyerere aliamini kuwa tuna maadui watatu, ujinga, umasikini na maradhi.

Aidha falsafa yake hiyo ilikuwa haina mashiko au uongozi uliokuja baada yake umefanikiwa kuwaondosha maadui wawili, maradhi (Afya) na Umasikini.

Hakuna aliyoipinga moja kutwa nzima ya leo.

Mimi kwa mtazamo wangu binafsi, Tanzania siyo masikini, Tanzania hakuna maradhi mabayo kwengine duniani hayapo na yaliyopo tuna uwezo wa kupambana nayo. Tunabaki na ujinga tu.

Watanzania nini tufanye ili kupigana na adui ujinga?
 
Huu ndiyo mfano wa ujinga wenyewe sasa:

Kaongezeka pia mama ushungi
hajaanza yeye, mimi naona wale wanaochora picha, wansema huyu ni mama'ke Yesu, sijawahi kumuona huyo mama'ke Yesu kachorwa bila ushungi. Wewe umewahi kuiona michoro ya mama'ke Yesu bila ushungi?

Au ni ujinga tu umekurtuma kubwabwaja na kuhororoja bila mpango??
 
Kwani miaka yoyote ipo kwa nani? Imeleta faida gani? Zaidi ya watu kuiba kiholela tu.
Ndo muwape bure waarabu?! Kwanini Serikali isifix hilo tatizo? Serikali isiyoweza kudhibiti mienendo ya wafanyakazi wake ni ya nini? Hopeless ajuza wewe.
 
Kuna watu wanabishana kuhusu bandari hajawahi kuiona hata bahari. Ni ujinga tu.
Hivi huyu mtu ambaye anaweza kubishania bandari ambayo hajawawi kuiona, halafu mtu huyu huyu kwenye jukwaa la jamii intelligence anabishania dini na kuzungumza mambo yamhusuyo mungu ambae vile vile hajawahi kumuona, huyu mtu tutamwita nani

Life is illusion

Just by opening the eyes don’t befool yourself that
you are awake.
 
Adui mkubwa Tanzania Ni CCM.
Miaka sitini ya Uhuru umeme unakatika katika, petroli shida dizeli ndio usiseme. Watoto wanakaa chini shuleni,
Namba mbili Ni katiba.
 
Udini ndio njia pekee ya kufuta ujinga. Hutolielewa hilo kwa ujinga wako.

Nikikuuliza ni nini maana ya "udini" unapata kigugumizi kama wanasheria wenu wabovu.

Maana nimeambiwa mbeya huko ni viruko pia, hakuna lolote la maana, chumba kinanuka pombe.
Wewe hapo umeonesha ujinga kwa kusema Udini ni njia pekee ya kufuta ujinga while tunaona dini ni moja ya sababu kubwa ya kuongezeka kwa ujinga Afrika.njia za kuondoka ujinga ni kuwa na Elimu bora na uchumi bora.kwa sababu mtu anaweza kuwa mjinga kwa sababu ya njaa yake.mfano machawa.
 
Screenshot_20230725-223231_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom