Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

Hata wakisema tuna Dola billion 50 Nani anaweza Ku verify kile wanachosema? Huyu mama na Serikali yake kitu pekee ninachoweza kuwaamini ni salamu tu zaidi ya hapo ni uongo Tu .
Jpm yeye ulikuwa unamuamini eti. Alitupiga fix ameajiri walimu elfu 13 kumbe hata elfu mbili hawafiki, ila jpm kwa fix jamani
 
5.8b - 4.8b= ? Ongezeko jipya.

Nakiri mbele yenu kuwa viatu vya Hayati bado havinitoshi, najiona napwaya[emoji23]
 
kwakuwa GDP per Capita yetu ni Tshs 2,653.8 au $1,156.8, hapa sija kuelewa kwa hiyo nakosa imani na data zako, unamanisha Tshs 2,653.8 ni sawa na dollar 1,156.8 au? sababu kama sikosei dollar moja ni karibu na elfu mbili za Tanzania.
 
Juzi tu wakati Facebook wamestisha mtandao kwa siku moja tu mmiliki wake amepata kahasara kadogo ka $6b leo nchi nzima tunashangilia kuwa na akiba ya $5.8b!!! Mungu atusaidie.
 
Kama anatisha ndg yangu,

Namuona YEHODAYA anauliza mambo ya kijinga huyu mwanaccm sijui nini kimempata,

#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
Jibu swali nimeuliza pesa hizo za kigeni zilizoongezeka source yake Nini? Tumeuza Nini nje ? Zimeongezeka kwa mikopo au misaada ? Kilichosababisha ongezeko ni Nini? Unataka tupige tu makofi na vigelegele kuwa zimeongezeka bila kujua chanzo kilichosababisha ziongezeke? Weka sababu ya ongezeko

Jibu Hilo kwanza
 
YEHODAYA ukiambia Gross foreign official reserve unaelewa nini?
 
YEHODAYA ukiambia Gross foreign official reserve unaelewa nini?
Sasa tumia usomi wako sasa kumwaga elimu kilichosababisha ongezeko hili ni nini na source uweke.Maneno ya kingereza weka pembeni fafanua kwa kiswahili fasaha nini kimesababisha ongezeko la pesa zetu za kigeni
 
Binafsi kiroho safi kabisa nimemkubali Rais Samia 100%
Wanaompinga hasa WANACCM nawapa Pole Sana kwani wanajichelewesha sana,

Sijaona kama Samia bado Mimi kwa waliokufa na waliohai,
 
Binafsi kiroho safi kabisa nimemkubali Rais Samia 100%
Wanaompinga hasa WANACCM nawapa Pole Sana kwani wanajichelewesha sana,

Sijaona kama Samia bado Mimi kwa waliokufa na waliohai,
Tumeuliza kilichosababisha pesa za kigeni ziongezeke ni kitu gani tunaona tu mnapiga makofi na vigelegele tu.Tuambieni nini kimesababisha ziongezeke ni misaada na mikopo au ni mauzo nje ya nchi wekeni na takwimu za kudhibitisha
 
Kwani mi nakula ngapi Kwa mwezi tumalizane ili tusidaiane kabisa
 
Sasa tumia usomi wako sasa kumwaga elimu kilichosababisha ongezeko hili ni nini na source uweke.Maneno ya kingereza weka pembeni fafanua kwa kiswahili fasaha nini kimesababisha ongezeko la pesa zetu za kigeni

Tumeuliza kilichosababisha pesa za kigeni ziongezeke ni kitu gani tunaona tu mnapiga makofi na vigelegele tu.Tuambieni nini kimesababisha ziongezeke ni misaada na mikopo au ni mauzo nje ya nchi wekeni na takwimu za kudhibitisha
Foreign Reserve,

Inaweza kuwa exchanging ya local currency, Unanunua dola then unaweka akiba,

Inaweza kuwa Exports values

Inaweza kuwa Gold value

Inaweza kuwa Tanzanite Value

Inaweza kuwa Diamond Value,

Sasa nadhani unaweza kuelewa kama Serikali miezi mitatu imekusanya TSHS 5.15T inashindwaje kuchukua Tshs 2.3T ili kununua dola na ikaweka reserve?

Foreign reserve ni bank akaunti kama zilivyo akaunti nyingine ,

Kazi iendelee
 
Asante Somo la darasani ulilomwaga hapa nimeelewa Sasa tuje kwenye uhalisia kilichosababisha foreign reserve zetu zipande hizi tunazoambiwa humu ni Nini? Hizi hapa kwenye mada?
 
Tumeuliza kilichosababisha pesa za kigeni ziongezeke ni kitu gani tunaona tu mnapiga makofi na vigelegele tu.Tuambieni nini kimesababisha ziongezeke ni misaada na mikopo au ni mauzo nje ya nchi wekeni na takwimu za kudhibitisha
Hili swali lako halina tofauti na kumuukiza mtu hiyo gedha

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
Hii ni nusu budget ya pesa ya $5.8B ambayo spaceX kampuni ya elon musk imepanga kuitumia kuhakikisha starlink kampuni tanzu ya broband internet inayotumia satellite , zaidi ya sattelite 35,000 zatarajiwa kuwekwa baada ya kukamilika kwa ujenzi rocket za falcon heavy ambayo itatumika kuinstall sattelite katika orbit . tuendako nikuzuri kutakuwa na bando speed mbs 250
Na tutatumia satellite kupokea bando tuachane makabaji matoa huduma ya kibongo
 
SSa
Sasa kama kwa Hayati Magufuli tulikuwa na $4.8.B
Kwa Samia tuna $5.8B
Nani mkweli?
Samia hizo kazizalisha lini? wakati kila siku anashinda kwenye makongamano na walisha,na kupigia magoti wazungu ili apewe mkopo wa mashariti nafuu na IFM, baada ya kuwaza kutumia raslimali tulizopewa mwenyezi Mungu,yeye anawaza kukopa na kuomba msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…