Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu


Wanasema "Past One year " Samia anamiezi sita wapi na wapi?



#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Ametoa za kwake mfukoni akajazia au mi ndio sijaelewa......
Utaelewa tu,

Rais ndio Chief budget advisor,

Rais ndio Chief budget proposer

Rais ndio anasaini sheria ya budget itumike,


Nadhani umeelewa,



#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
These are pure LIES

Ni kama Magufuli,tupo uchumi wa kati na tuna hela za kutosha,wameingia wapya kumbe nchi haina hata senti!

How do you prove these numbers?

Nina bilioni 100 benki,how do you prove and believe that kwamba ninazo?
Nini maana ya kuwa na dhamana kwa watu wenye mamlaka hayo?
 
Kama zinaweza kutulisha kwa miezi hiyo, fungu linaloweza kutushibisha kwa mwezi mmoja watugawie mitaji tupambane kitaa hapasomeki kabisa
Hahahha..au sio wafanye hivyo,tubaki na miezi miwili.
 
Hata wakisema tuna Dola billion 50 Nani anaweza Ku verify kile wanachosema? Huyu mama na Serikali yake kitu pekee ninachoweza kuwaamini ni salamu tu zaidi ya hapo ni uongo Tu .
Ndo nyie mliosema Serikali yake itashindwa kulipa hata mishahara..Kiko wapi sasa??

Nchi inaenda vizuri sana.
 
Kumbe NGUMBARU? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tanzania's national debt increases by $3.9 billion in one year, July central bank report reveals,​



"IN ONE YEAR NDIO NINI "

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDIZAIDI
 
tunaaminije kama hizo hela zipo kweli, CCM hawaaminiki, wanaweza kusema tuna akiba ya miaka 10 hata kumbe hata hela ya kutulisha siku moja ugali ndondo kila mtanzania haipo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa hiyo July ndiyo one year? 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Tanzania's national debt increases by $3.9 billion in one year, July central bank report reveals,


"IN ONE YEAR NDIO NINI "

#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDIZAIDI
 
Ndo nyie mliosema Serikali yake itashindwa kulipa hata mishahara..Kiko wapi sasa??

Nchi inaenda vizuri sana.
Wameona aibu sana hawa pingapinga,


KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDIZAIDI
 
Ndio Chadema walivyo mkuu,

KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDIZAIDI
Mambo wanayoshangilia na kufurahia CDM ni Rais na viongozi kufa, makusanyo ya kodi kupungua, wananchi wakose barabara nzuri, madarasa yawe mabovu, wananchi wasiichangie serikali yao (wakati wao ndiyo mabingwa wa kupitisha mabakuli kwa wananchi kwa sababu za uongo uongo na za kitapeli, na hayo makusanyo huwa hayana mrejesho), jumuiya ya kimataifa iitenge TZ, akiba ya kigeni ipungue, wananchi wakose maji, serikali isiwe na uwezo wa kutoa huduma za afya, viongozi wafarakane na taasisi mbalimbali nchini n.k.!! Sometimes huwa najiuliza kama hawa ndugu ni watanzania kweli, VERY SELFISH MOFOS
 
Wacha uongo wewe!!!! Kwa hiyo miezi 7 aliyokuwa madarakani amefanya yepi ya kuingiza hela yote hiyo zaidi ya mikopo ya COVID-19 toka ADB na IMF na sasa Chifu matonya anafukuzia mkopo mwingine WB?
Ukisikia kupanic ndio huku,hapa ni wivu na chuki vinakusumbua,thibitisha huo uongo,huwezi..

Nakusaidia sasa hiyo initiative ya Covid ndio imeleta tija,pamoja na kupambana na covid shilling ya Tzn imeimarika dhidi ya dola kutokana na kuongeza kwa exports ya bidhaa za viwandani,gold na Mazao ghafi.

Kwani wewe hukumsikia kwamba Tzn imeipiku Kenya ku export bidhaa nyingi Uganda?..

Hujasikia uwekezaji ulivyoongezeka kutoka dola mil.600 hadi dola bil.3?

Hujaona sekta ya utalii ukianza kuimarika? Miezi 6 watalii zaidi ya 400k inamaana by Mwisho wa mwaka itazidi idadi ya last year ya 600k..

Biashara mpya nyingi zimefunguliwa,Brella walisajili zaidi ya biashara 3,000 tofauti na 1700 mwaka uliopita kipindi kama hicho? Tena katika hizo leseni migodi 3 mikubwa ya matilioni ya pesa na Rais aliitaja Jana kwenye hotuba yake.

Ndugu unateseka kutokea sehemu gani hapa Tzn? 🀣🀣🀣🀣.

Mikopo kila nchi inakopa mbona awamu zilizopita zilikopa na hawakuwahi sema walifanyia nini pesa au walidanganywa kwamba hawajakopa huku deni la Taifa likikua mara 2 zaidi?

Kwa Taarifa yako hayo mafanikio ni ukuaji wa uchumi,ingia BoT utaona yote hayo na GDP kwa kipindi hicho ilikua kwa 4.9% juu ya projection ya 4.5%

Kwa Taarifa yako hakuna nchi haikopi ,Nigeria hapo wanafukuzwa mkopo wa Dola bil.10 za Us, Marekani mwezi uliopita wamepitisha pesa ya mkopo wa mabilioni ya dola tena wakasema Bunge likigoma Serikali itashindwa kujiendesha 😝😝..Huo mkopo ambao Serikali inatafuta ni dola bil.1.1 na ni kwa ajili ya kuongeze hiyo reserves ya pesa za kigeni pia.

Niongeze volume? Pole Sana namba hazidangayi hakuna kama Samia na hakuna atamfikia kwa rekodi hizi πŸ‘‡











 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…