Tanzania tuna protocol za ovyo kabisa kwa Viongozi wetu

Unamaanisha huku nguvu inabidi itumike zaidi ya akili??
Hao wakina Biden na Eliza wanalindwa na zaidi ya hao watu wanaowalinda viongozi wa Africa.

Nadhani tunakurupuka sana, anapokuwepo raisi wa US au malkia, mzingo mkubwa unakuwa kwenye rada ya kiulinzi, thermal image inafanya kazi muda wote, snipers, SS, CIA, MI6, FBI, NSA, na technology za hali ya juu kulikagua eneo lote.

Hatuna hiyo teknology, hatuna huo uwezo, angalau basi apate ulinzi wa bodyshield.
 
Huku kwetu rais wa nchi ni Mungu mtu!
download.jpeg
 
Yaani jiulize Jay Z na konde boy nani ana hela? Lakini angalia konde boy mabodigadi 30 wakati Jay Z ana mpambe moja tu na mke wake na watoto kawabeba mwenyewe. Yote kina konde boy na WCB wanaiga kwa viongozi wao.

Hii comment imenifanya nicheke sana japo nna stress laki 3🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hao wakina Biden na Eliza wanalindwa na zaidi ya hao watu wanaowalinda viongozi wa Africa.

Nadhani tunakurupuka sana, anapokuwepo raisi wa US au malkia, mzingo mkubwa unakuwa kwenye rada ya kiulinzi, thermal image inafanya kazi muda wote, snipers, SS, CIA, MI6, FBI, NSA, na technology za hali ya juu kulikagua eneo lote.

Hatuna hiyo teknology, hatuna huo uwezo, angalau basi apate ulinzi wa bodyshield.
Swali langu mimi kwanini Nyerere na mwinyi na mkapa hawakuwa na ulinzi mkali hivyo? Nimeanza kuziona bunduki waziwazi kwa viongozi hivi karibuni tuu. Alafu wewe usiangalie sana TV series zenye POTUS saa zingine wanachanganyikana na watu wa kawaida tu sema vetting inafanyika na hutaona mabunduki wazi wazi.
 
Nyerere alitawala nchi yenye population gani?
Mwinyi alitawala population gani?
Mkapa nae?

Kama nakumbuka vizuri, wale jamaa wa Rufiji hawakuwepo kipindi cha hao wazee, walianza lini?

Hivi karibuni ndo tumeanza kupata teknolojia pia, hata rada, achilia za kijeshi, alinunua mkapa. Ben alinunua ndege ya masafa marefu kwa matumizi ya raisi, kabla ya hapo walikuwa wanaingia kwenye commercial airlines.

Itoshe kusema, kadiri mshahara unavyoongezeka ndivyo matumizi yanavyoongezeka.
 
Kwa nchi hii ambayo baadhi ya watu wanafurahia kifo cha mwingine huwezi ukachukulia poa tu, hujui Leo au kesho watafanyaje.
Huu Uzi ungesomeka 'Tanzania inawatu wa ajabu kweli kufurahia vifo vya viongozi wao'
Ktk mazingira kama haya kwa nini nisiwe hata na walinzi 800.
 
Nahisi hata mamayetu hafurahii hili swala sema ndiyo kashakuta lipo kwenye protokali
Inaonekana Genge la Magu ndio limemwekea huo ulinzi, na ameshindwa kukataa maana linaweza kuwa linamwambia kuna hatari ya usalama wake.

Wao wamekariri silaha ni bunduki na mabomu tu.
 
Si mlisema kwa Magufuli?,Samia tena?,
Kuifananisha Tanzania kiteknolojia na. Marekani na Uingereza ni ujinga uliokithiri
Kwaiyo yale magari yenye mitambo ya ovyo ovyo kwenye msafara siyo tekinolojia au?
 
Ukifanana ulinzi wa Rais wa Maerkani na Tanzania unakosea sana, ungelinganisha na nchi za africa ningekuelewa.

Ulinzi wa hizo nchi upo juu
 
Rais na msafara wa magari mia kasoro huu ni ubadhirifu sana wa kodi zetu
Pamoja na ulinzi huo lakini huyo unemuita raisi wa marekani ana ulinzi kuliko mtu yeyote hapa duniani, sema wao hawajionyeshi na ni ghalama kubwa ya ulinzi wake kwenye event yoyote anapokuwa.
Ghalama ya ulinzi wake unaweza kuwa ni bajeti ya taifa lako kwa trip
 
Hao wakina Biden na Eliza wanalindwa na zaidi ya hao watu wanaowalinda viongozi wa Africa.

Nadhani tunakurupuka sana, anapokuwepo raisi wa US au malkia, mzingo mkubwa unakuwa kwenye rada ya kiulinzi, thermal image inafanya kazi muda wote, snipers, SS, CIA, MI6, FBI, NSA, na technology za hali ya juu kulikagua eneo lote.

Hatuna hiyo teknology, hatuna huo uwezo, angalau basi apate ulinzi wa bodyshield.
Mkuu...kaa kimya tuu..wala usiumize kichwa kuwaelekeza wapumba.vu...ni sawa uanze mwelekeza taahira..watajulia wap.....

Tena hao aliowataja ndo balaa zaid maana intelijensia inaanza kwa wale washangiliaji..yaan we unawaona kama raia kumbe wote wale zaid ya 100 ni wanausalama...kwahyo waakiweka kidogo wale wavaa suti bas mitaahira inahis vingne...na bado hapo hujaongelea section zingne....yaan wataruhusu watoto tu..ingawa nao huwa pia kwenye protocol..sio kila mtu amguse biden au queen....kuna kipind obama alitoka nje akaingia kwenye burger point akala baga...watu walihis et kajiendea tuu..kumbe ikaja julikana ile ilikua publicity stunt..wale wa kwenye baga point wote walikua usalama..kuanzia mpish had mfagiaji..kwa siku ile
 
Pamoja na ulinzi huo lakini huyo unemuita raisi wa marekani ana ulinzi kuliko mtu yeyote hapa duniani, sema wao hawajionyeshi na ni ghalama kubwa ya ulinzi wake kwenye event yoyote anapokuwa.
Ghalama ya ulinzi wake unaweza kuwa ni bajeti ya taifa lako kwa trip
Sijaongelea gharama nimeongelea idadi ya walinzi wanaomzunguka huoni kama biden yuko free zaidi anapowasili sehemu yuko peke yake wala hana utitiri wa walinzi wanamzunguka au kusimama nyuma yake?
 
Mkuu...kaa kimya tuu..wala usiumize kichwa kuwaelekeza wapumba.vu...ni sawa uanze mwelekeza taahira..watajulia wap.....

Tena hao aliowataja ndo balaa zaid maana intelijensia inaanza kwa wale washangiliaji..yaan we unawaona kama raia kumbe wote wale zaid ya 100 ni wanausalama...kwahyo waakiweka kidogo wale wavaa suti bas mitaahira inahis vingne...na bado hapo hujaongelea section zingne....yaan wataruhusu watoto tu..ingawa nao huwa pia kwenye protocol..sio kila mtu amguse biden au queen....kuna kipind obama alitoka nje akaingia kwenye burger point akala baga...watu walihis et kajiendea tuu..kumbe ikaja julikana ile ilikua publicity stunt..wale wa kwenye baga point wote walikua usalama..kuanzia mpish had mfagiaji..kwa siku ile
Matako nimeongelea nzi wanaomzunguka kiongozi sijaongelea gharama matako
 
Ni huku kwenye nchi zetu za banana republic ndo tunaamini hatari kwa kiongozi mara zote ipo awapo kwenye kadamnasi. Na inazuilika kwa kuweka walinzi wengi nyuma na pembeni ya kiongozi...!

Kwingineko wanaamini hatari kwa kiongozi kama ipo awapo kwenye kadamnasi basi ni kuilinda kadamnasi yenyewe! Hivyo wanachofanya ni kupachika walinzi wa kutosha ndani ya umati wa watu.
Aidha pia shishangai sana huku Afrika kiongozi kuzungukwa na msururu wa walinzi. Wengi afya zao ni dhaifu!
 
Back
Top Bottom