Tanzania tuna protocol za ovyo kabisa kwa Viongozi wetu

Kumbe unajua kuwa wenzetu wanatumia akili zaidi kuliko kujazana watu mia kwenye kiongozi sasa mbona huna akili ya kuelewa mleta hoja?
 
Jiwe alileta mpaka marundi kutokwa Rwanda , lakini hakimu wa haki Mungu akamaliza mchezo .
 
Hili ndilo nlitaka kuwakumbusha wenzangu pia humu.

Inaonekana upeo wa wengi wetu ni mdogo kwenye masuala ya Utawala.
 
Sijaongelea gharama nimeongelea idadi ya walinzi wanaomzunguka huoni kama biden yuko free zaidi anapowasili sehemu yuko peke yake wala hana utitiri wa walinzi wanamzunguka au kusimama nyuma yake?
Mkuu ni methods tu zinazotumika. Kutokana na technological advancement yao hao Marekani na wenzie wanaweza wasimzunguke lakini ulinzi uliofanyika pale ni mkubwa na gharama zake ziko juu mno kuliko sisi.

Kwahiyo mkuu wewe tatizo lako ni idadi ya watu wanaomzunguka rais??
 
Wewe unaona kutishana na hiyo mitutu na magwanda ya kijeshi ndiyo sahihi na hiyo migari yenye antenna?
 
Kwa jinsi ninavyoona hapo hakuna ulinzi kuna asilimia kubwa ya watu wa mambo ya nje na watu state wamejitengenezea mazingira ya per diem.

Haya makundi ya suti ndugu si yote yapo hapo kwa lengo mahususi wenye lengo mahususi nadhani hapo awazidi ishirini, waliobaki wanatafuta ada za watoto. Kwa jinsi walivyojazana hapo nadhani wao pia nikikwazo kwa snipers wetu kuona kilengeo ikitokea shida. Aidha ikitokea kurupushani sidhani Kama watasomana...,.......lakini pia wanahitaji pongezi maana mpangilio wao unapebdezesha timu..

Nimeandika kwa kuangalia move na kuona Marais wengine wanavyofanya akiwepo obama
 
Hata ukifuatilia hapo wavaa suti wengi ni ndugu za watu wa ofisi ya kiongozi maana huko malipo yake si haba.
 
Sijaongelea gharama nimeongelea idadi ya walinzi wanaomzunguka huoni kama biden yuko free zaidi anapowasili sehemu yuko peke yake wala hana utitiri wa walinzi wanamzunguka au kusimama nyuma yake?
Nadhani We unaongelea Jinsi Wale Wasaidizi wa Rais wanavyokuwa wanamzongazonga Kila Wakati, Hata Pumzi Hapati, Lakini Ulinzi Wa Aina Hii Nauona zaidi Huko Kwetu Africa Tofauti na Wenzetu Huku. Rais anakuwa free zaidi ingawa unseen security Wanakuwa Ni Wengi zaidi na Zaidi
 
Umemaliza kila kitu..mtoa uzi anavyatazama ulinzi wa Biden anavyofikiria ni tofauti.
Yote kwa yote ulinzi kwa viongozi ni lazima kwa gharama zozote zile.
 
Itakuwa Biden wa Mtogole kwa wafuga mbwa. Pia nchi maskini zinaongoza kwa roho mbaya (umaskini ni kama laana).
 
Umemaliza kila kitu..mtoa uzi anavyatazama ulinzi wa Biden anavyofikiria ni tofauti.
Yote kwa yote ulinzi kwa viongozi ni lazima kwa gharama zozote zile.
Hamjaelewa Lengo la Mleta Uzi, Mleta Uzi Anachomaanisha Kwamba PSU ya Kwetu iwe advanced zaidi, Sio kulundikana na Kununanuna Kila Wakati, Wengi Wao Wanaona sifa Kuonekana wakiwe PSU na Nadhani watakuwa Hata wanarogana Ili waende Huko
 
Ameeleweka Mkuu na kuna mtu kajibu hapo juu, kwamba hatupo vizuri kwenye technolojia hivyo tunategemea sana nguvu au mabavu ya binadamu.
Hilo ndio mtoa uzi inabidi alielewe kuliko kukimbilia kukosoa.
 
Ameeleweka Mkuu na kuna mtu kajibu hapo juu, kwamba hatupo vizuri kwenye technolojia hivyo tunategemea sana nguvu au mabavu ya binadamu.
Hilo ndio mtoa uzi inabidi alielewe kuliko kukimbilia kukosoa.
Unamaanisha Technolojia ya Manguvu Ni Nzuri Zaidi?
 
Upande huu wa dunia tuna namna yetu ya kufanya mambo.
 
Kwenye katiba wataandika maswala ya ulinzi na idadi ya walinzi wa raisi jembe?!

Hizo ni sheria ndogo ndogo tu ambazo zinaweza kurekebishwa hata bila ya katiba. Huwezi andika kila jambo katika katiba, maana hiyo katiba itakuwa ni kubwa kuliko dictionary ya Oxford.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…