Tanzania tuna silaha za nyuklia kiasi gani?

Ukiamka usingizini Katafte kwanza tisheti ya kijani na kofia ya kijani, hiyo ndoto itakufanya ujikojolee.
 
Cha msingi tusijifanye kutengeneza uadui na majirani, ikiwa kwenye mambo hayo sisi ni weupe.

Tunajua kuwadhibiti wapinzani tu mengine hatujui.......

Nilisikitika sana baada ya kusikia eti kuna mwanamke ni tishio kitunda anadunda wanawake wenzake mpaka wanaume tena nawacharanga na chupa halafu hata akikamatwa siku mbili tu yuko mtaani wananchi wamechoka wanalalamika mpaka kwenye vyombo vya habari, Dah!
 
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
Hata tungekuwa nazo zingekuwa zinashambulia kina Mdude na Chaula tu.

Nchi imeshakufa hii.

Ikitokea vita, waende Machawa kina Mrisho Mpoto na Mwijaku.
 
Cha msingi tusijifanye kutengeneza uadui na majirani, ikiwa kwenye mambo hayo sisi ni weupe.

Tunajua kuwadhibiti wapinzani tu mengine hatujui.......

Nilisikitika sana baada ya kusikia eti kuna mwanamke ni tishio kitunda anadunda wanawake wenzake mpaka wanaume tena nawacharanga na chupa halafu hata akikamatwa siku mbili tu yuko mtaani wananchi wamechoka wanalalamika mpaka kwenye vyombo vya habari, Dah!
Mkurya kaingia mjini
 
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.

Unataka uwe nayo ili iweje?

Una adui gani mkubwa kwamba ni tishio sana kwako?

Umeme tu wa kusua sua , nuclear mtaiweza gharama zake?
 
Back
Top Bottom