Tanzania tuna silaha za nyuklia kiasi gani?

Tanzania tuna silaha za nyuklia kiasi gani?

Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
wewe jua tu sisi ni jeshi la sita kwa nguvu duniani inatosha
 
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
nyuklia we2 wapo TABORA
 

Angalia hiyo sinema inaweza kuwa boring kwa sababu sio action.

Lakini wahusika ‘Neil Bohr’ na ‘Werner Heisenberg’ hao ndio waliotoa elimu ya ‘quantum physics’ kwa kina hadi watu kufikiria fission ya kutengeneza bomu.

Neil Bohr akiwa jemedari, ili US kutengeneza bomu lao; ilibidi wamtoroshe jamaa kutoka (Denmark), he was a Jew under NAZI watch kwenda kukagua hesabu zao.

US yenyewe ilikuwa na scientist wa kutosha (both theoretical physicists, practical physicists na engineers) team iliyokuwa inaongezwa na Oppenheimer (humo ndani kulikuwa na Freyman, japo alikuwa mdogo leo uwezi kuongea watu wenye mchango wa physics bila ya kumtaja) mtu ambae hakuwa ata important kwenye hiyo team at the time; Einstein na Bohr walikuwa washauri tu among several prominent physicists.

Sisi kwenye vichwa vyetu kutengeneza Nuclear bomb ni jasambo rahisi tu, kisa nchi ina uranium reserves.

Sijajua sababu za watanzania kudhania kila kitu rahisi, wakati famous ‘nuclear physicists’ anaejulikana Tanzania ni mstaafu Dr Bilal

Hii tabia ya kudhani mambo ni rahisi tu inaonyesha namna gani jamii yetu ilivyo nyuma sana.

Matokeo yake mtu anaweza pewa technical post serikalini, wakati uelewa wake wa hiyo sector unakuta ni mdogo mno.
ahsante kwa somo
sasa huyo Dr Bilal hiyo elimu yake alienda kuifanyia wapi kazi?

hadi anastaafu hatuna hata kinu kimoja
hili nalo ni somo kubwa
watu wasome masomo yatakayoleta mapinduz
katika jamii na taifa letu.

usisome kwa sifa tu
wakati hakuna mchango positive utaleta kwa jamii yako.
 
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.


Zipo nyingi. Hasa Tabora, Singida na Arusha.
 
Back
Top Bottom