Tanzania tuna silaha za nyuklia kiasi gani?

Tanzania tuna silaha za nyuklia kiasi gani?

Sisi mpaka karne hii ya 21 bado tuko huku.
 

Attachments

  • Screenshot_20250622_082903_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20250622_082903_Opera Mini.jpg
    272 KB · Views: 20
Sijui idadi ya silaha za nyuklia
Ila tanks hazizidi 100, planes<20 nitarudi baadae niandike vizuri
 
Si lazima tufanane silaha za kujilinda. Sie tuna silaha zetu kali sana zina uwezo wa kuharibu silaha za adui kabla hazijatua ardhini na kuleta madhara. Ni silaha za kuharibu mitungi ya nyuklia za adui kama atatutishia. Ogopa sana silaha tulizo nazo ni za kipekee duniani
 
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
Tanzania tuna DENI LA MAMA,GOLI LA MAMA,BAISKELI ZA MAMA,PIKIPIKI ZA MAMA,................sasa hayo masuala ya perfume za mama ndio ziko tele.
 
Labda nyuklia za jadi kwa Mzee Mchependa Sumbawanga
 
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
Hizo taasisi zinafanya kazi kwa siri sana, Tanzania tunayo Atomic Agency ina makao makuu Arusha(Tume ya Atomic). Hata juzi Rais Samia kasema tuanze kufikiria umeme wa kutumia urani, though Tume ya Atomic Duniani na mabeberu lazima watembee na wewe bampa to bampa. Yurani imejaa sana huko Mbuga ya Mwalimu Nyerere. Hiyo Tume ina roadmap nzima. Na hata aliyekuwa Makamu wa Rais nadhani ni Dk Bilal alikuwa bingwa wa hizo mambo

Ni sawa na Medical Research Institute, kazi zao za siri sana though silaha za kibaiolojia zinaweza kutokea humo na kutibiwa humo.
 
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
Pata wasaa ukaongee na hawa jamaa, japo hawatakupa taarifa zone, hasa za siri.
Screenshot_20250623-062930.jpg
 

Angalia hiyo sinema inaweza kuwa boring kwa sababu sio action.

Lakini wahusika ‘Neil Bohr’ na ‘Werner Heisenberg’ hao ndio waliotoa elimu ya ‘quantum physics’ kwa kina hadi watu kufikiria fission ya kutengeneza bomu.

Neil Bohr akiwa jemedari, ili US kutengeneza bomu lao; ilibidi wamtoroshe jamaa kutoka (Denmark), he was a Jew under NAZI watch kwenda kukagua hesabu zao.

US yenyewe ilikuwa na scientist wa kutosha (both theoretical physicists, practical physicists na engineers) team iliyokuwa inaongezwa na Oppenheimer (humo ndani kulikuwa na Freyman, japo alikuwa mdogo leo uwezi kuongea watu wenye mchango wa physics bila ya kumtaja) mtu ambae hakuwa ata important kwenye hiyo team at the time; Einstein na Bohr walikuwa washauri tu among several prominent physicists.

Sisi kwenye vichwa vyetu kutengeneza Nuclear bomb ni jambo rahisi tu, kisa nchi ina uranium reserves.

Sijajua sababu za watanzania kudhania kila kitu rahisi, wakati famous ‘nuclear physicists’ anaejulikana Tanzania ni mstaafu Dr Bilal

Hii tabia ya kudhani mambo ni rahisi tu inaonyesha namna gani jamii yetu ilivyo nyuma sana.

Matokeo yake mtu anaweza pewa technical post serikalini, wakati uelewa wake wa hiyo sector unakuta ni mdogo mno.
 
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
Huo muda wa nyuklia tunautoa wapi wakati most of time ruko bize na kubeti, simba na yanga, kulalama, na kudanganyana?
 
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
sisi labda VX latest
Prado latest
ila nyuklia na drones
hahaha tunazo kwenye simu zetu labda

inabidi Jeshi letu liimalishwe hasa
vifaa
mishahara
technology
kwa kila kitu

maisha yao yapo nje nje
nyakati kama za vita
 
Siyo silaha nzuri kuwa nazo sababu nchi nyingi zenye nyuklia zina doctrine ya kushambulia kwa nyuklia nchi zile zenye nyuklia tu.
 
Back
Top Bottom