and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Ni fikra nzuri Kwakweli maana sisi tuna uelewa wa barabara zetu"Hatujengi Kwa lami barabara zinazoenda uelekeo wa Kambi za jeshi,maadui watatuvamia kirahisi"
Hata tungekuwa nazo zingekuwa zinashambulia kina Mdude na Chaula tu.Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?
NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
Mkurya kaingia mjiniCha msingi tusijifanye kutengeneza uadui na majirani, ikiwa kwenye mambo hayo sisi ni weupe.
Tunajua kuwadhibiti wapinzani tu mengine hatujui.......
Nilisikitika sana baada ya kusikia eti kuna mwanamke ni tishio kitunda anadunda wanawake wenzake mpaka wanaume tena nawacharanga na chupa halafu hata akikamatwa siku mbili tu yuko mtaani wananchi wamechoka wanalalamika mpaka kwenye vyombo vya habari, Dah!
Tuna silaha inaitwa machawa wa mamaKama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?
NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
haha hizo zitakua za DAR-PWANINyuklia Bado. Ila tuna Panasonic missiles za kutosha.💪
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?
NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
Mbona wengi ni legevu,wamebeba misambwanda minene na vichwani hamna kitu?Tuna silaha inaitwa machawa wa mama
Hayo ndio mabomu ya nchi hii. Mixer ujingaMbona wengi ni legevu,wamebeba misambwanda minene na vichwani hamna kitu?