Tanzania tuna silaha za nyuklia kiasi gani?

Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
wewe jua tu sisi ni jeshi la sita kwa nguvu duniani inatosha
 
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
nyuklia we2 wapo TABORA
 
ahsante kwa somo
sasa huyo Dr Bilal hiyo elimu yake alienda kuifanyia wapi kazi?

hadi anastaafu hatuna hata kinu kimoja
hili nalo ni somo kubwa
watu wasome masomo yatakayoleta mapinduz
katika jamii na taifa letu.

usisome kwa sifa tu
wakati hakuna mchango positive utaleta kwa jamii yako.
 
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?

NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.


Zipo nyingi. Hasa Tabora, Singida na Arusha.
 
nyuklia za mashuzi na machawa wasojielewa kila kitu kusifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…