Hapa umedadavua zaidi hoja ya kukosa utaalamu.Hawa wala usiwaamini mkuu. Wamekopi na kupesti maneno ya mabeberu ili waipate hiyo unayoiita PhD.
Wenye PhD wako wengi nchi hii lkn hawana tija yoyote kwenye hili taifa zaidi ya kumiliki karatasi ngumu wanazoziita vyeti.
Kukosa tija huko kwa wanaoitwa wasomi wakiwa na vyeti ndiyo ukosefu wa utaalamu wenyewe.