Tanzania tuna tatizo la wataalamu

Tanzania tuna tatizo la wataalamu

Ukiongea na wananchi wa kawaida wana lalamika kuna wasomi wengi sana hawana kazi. Ukiongea na wataalamu wanalalamika hakuna watu wa kutosha wenye ujuzi na taaluma za kazi. Kuna Mtanzania Dr Mushi alifanya PHD yake kwenye hili na link ya kitabu chake iko hapo. Je ni kweli kuna tatizo la wataalamu? Na tufanye nini kutatua hili tatizo

Pascal Mayalla Zitto

View attachment 2449086
Utakuwa msomi wa ajabu unatumia rejea ya August 2017 katika kutetea hoja mwaka 2022 ambao kimsingi yawezekana Wasomi wameongezeka maradufu. Lete hoja hai kwa rejea sahihi sio kuleta hoja mfu
 
Yaani ndiyo unapoteza miaka 5 au zaidi ili kuja kuchoma sindano? Si ni suala la kuelekezwa kwa dakika 5 tu!
Ndo matatizo ya kukimbia umande hayo.

Unazani utabibu ni Uganga huo wa kuelekezana kua mzizi huu chemsha kunywa...[emoji1787][emoji1787]

Narudia. Matatizo ya hii nchi sio ya Wasomi bali yanatokana na sera mbovu, ubinafsi, rushwa kukosa uzalendo.

Engeneer anapo jenga balabala chini ya kiwango, sio kua hajui kua kwa ratio hii balabala haidumu miaka 3 anajua ila kwa kukosa uzarendo anaamua kupiga ratio ndogo ili amaximize profit.

Maprofesa wa vyuo vikuu wako busy mda wote na tafiti, wanakosa hata muda wa kufundisha, lakini tafiti nyingi hazina tija kwa Taifa kwa sababy ya funding: Anae kupa hela ya tafiti ndo anaamua ufanye tafiti kwenye eneo gani ambalo yeye ana interest nalo haijalishi kuna manufaa kwenye jamii yako au hakuna. So it is fund based motivated not problem solving motivated

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Narudia. Matatizo ya hii nchi sio ya Wasomi bali yanatokana na sera mbovu, ubinafsi, rushwa kukosa uzalendo.
Mnaitwika lawama za bure tu serikali. Mbona hampati kazi kwenye mataifa mengine kama Tanzania hakuna uzalendo?

Kubali kuwa hakuna elimu mnayoipata huko vyuoni. Walimu wenu Wana njaa, na ninyi mna njaa halafu ukichanganya na kudanga na, kubet mnatoka kapa.

Serikali ndiyo imewazuia kuhgundua hata kidonge?

Tangu uhuru hakuna hata kampuni ya ujenzi iliyopewa kazi nje ya nchi kama tuzioanvyo kampuni hapa Tanzania zikijenga barabara.

Tangu uhuru hakuna kitu ambacho ugunduzi na utengeenezaji wake chanzo ni hapa Tanzania.

Shame on you!
 
Mkuu tufanye sisi wasomi tunazingua.

Billgate alikua college drop out hakusoma chuo. lakini kagundua mifumo ya kiutendaji ya computer npaka sasa inatumika duniani.

So what z your excuses? Wewe ambae ulikimbia umande na kuona kucheza bao na kamalinni bora kuliko kusoma, Si utengeneze hicho kidonge uje utuuzie sisi wasomi tunaozingua au wewe hutaki hela?

Ukute hata pancha ya baiskeli huwezi kuziba. Kazi kutupa lawama kwa wasomi ambao sio wewe wala babaako aliwachangia ada waende shule.

Good bye.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom