Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaa, hawana ubavu kwa serikali....Alichokifanya Spika leo tuseme ni kama hatuna Bunge tena Tanzania
Yaani hata wabunge walie namna gani Bungeni tutajua tu wanatuchora.
Hata kama basi spika haoni umuhimu wa kile alichokisema awali akitimiza majukumu ya kibunge basi ili kulinda heshima ya Bunge yeye ajiuzulu ili aachie wengine ambao hata kama nao watafuata nyayo zake itakua afadhali ya hao kuliko yeye asiyekua na msimamo kabisa.Yaa, hawana ubavu kwa serikali....
Kwa zile spana alizoshushiwa na yule mwenezi wa njombe amebaki kuwa ubua tu kwenye hiyo nafasi......Hata kama basi spika haoni umuhimu wa kile alichokisema awali akitimiza majukumu ya kibunge basi ili kulinda heshima ya Bunge yeye ajiuzulu ili aachie wengine ambao hata kama nao watafuata nyayo zake itakua afadhali ya hao kuliko yeye asiyekua na msimamo kabisa.
Hivi sasa tayari Ndugai ameshatoa azimio la Bunge la kumpongeza Samia kwa kukopa!Alichokifanya Spika leo tuseme ni kama hatuna Bunge tena Tanzania
Yaani hata wabunge walie namna gani Bungeni tutajua tu wanatuchora.
Inabidi mwenezi wa Njombe na Ndugai wapatanishwe vinginevyo mwenezi ajiandae kwa bakora!Kwa zile spana alizoshushiwa na yule mwenezi wa njombe amebaki kuwa ubua tu kwenye hiyo nafasi......