Hata kama basi spika haoni umuhimu wa kile alichokisema awali akitimiza majukumu ya kibunge basi ili kulinda heshima ya Bunge yeye ajiuzulu ili aachie wengine ambao hata kama nao watafuata nyayo zake itakua afadhali ya hao kuliko yeye asiyekua na msimamo kabisa.