The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #101
Na rasilimali zilizopo.Tzn ina ukubwa kuizidi Angola? Wamekaa kwenye vita miaka na miaka lakini hatuna pa kuwagusa.Ukubwa wa nchi unaendana na idadi ya watu pamoja na kodi tunazokusanya ni kubwa kulinganisha na wao, ishu si ukubwa wa nchi bali ni akili na uzalendo wa kweli.
Wajinga tu ndo wataamini huu upuuzi na data za kupikwa! Hapo kwenye network Sasa Seychelles inakaaje apo na hio 526Km[emoji28][emoji28], Zambia tu hapo kutoka Lusaka hadi Border (TDM) ni zaidi ya 1000KM sasa si uppuzi huo. Nchi kama Uganda wanatuzidi vipi sisi??? Tuna network ya barabara kwenda zaidi ya majiji na miji 43. Ifike mahala watanzania tuache kipiga ngenga tujikubali sisi ni bora bwanaa! Kuhusu ubora mimi sio mtaalam ila naamini Tanzania lazima iwe kwnye nafasi nzuri apo.Hadi senegal imetushinda? Huu ni uwongo!
Acha ushamba wewe kwaio mageti hayo yanakupagawisha??? Mnapo zungumzia quality mnazungumzia nini haswa?Senegal unaisikia mitandaoni tuu ila hakuna kitu tumewazidi .
Kwenye Barabara wako mbali sana yaani hata Bukina faso hatuwagusi.
Hivi huoni aibu eti miaka hii ndio tunahangaika na fly over na barabara ya njia Sita wakati hapo Uganda zipo kitambo tuu? Huko Senegal ndio usiseme.
Barabara zenyewe bado tunajenga za grade ya chini Sana ,wenzetu walishahama huko.
Dakar roads [emoji116]
View attachment 2086990
View attachment 2086991
View attachment 2086992
Wewe kama umeamua kutoipenda na kuikubali nchi yako kisa huwapendi CCM poleeeh, CCM sio Tanzania. Psycho[emoji57]Wewe nadhani unaleta ubishi na kujiona una hatia sababu ya hiyo avator.
Ukweli ni kwamba ccm imefeli pakubwa kwa miaka 60 yote hakuna kitu tunaweza kutoka kifua mbele.
Wewe ndio mshamba sasa unapayuka na kubweka hovyo hata huelewi quality ni nini?Acha ushamba wewe kwaio mageti hayo yanakupagawisha??? Mnapo zungumzia quality mnazungumzia nini haswa?
Narudia tena wewe mshamba, hizo picha zako zinaonesha izo criteria za quality??? Unaona durability apo??? Ndo maana nasema tena wewe mshamba!Wewe ndio mshamba sasa unapayuka na kubweka hovyo hata huelewi quality ni nini?
Quality ni serviceability ya barabara,durability inayotokana naaterials zinazotumika kujenga,comfortability na authentic ya barabara.
Sio barabara za makokoto na nyembamba afu ni single lanes,eti unaendesha mnapishana kwenye barabara moja [emoji38][emoji38]..
Hizo barabara zenye mageti ukizipata Tzn unitag.
Mwisho tunaposema barabara angalau ziwe na muonekano kama huu [emoji116]
View attachment 2088003
View attachment 2088005
View attachment 2088006
View attachment 2088007
View attachment 2088008
Najadiliana na kilaza na mpofu si tu wa macho bali akili..Narudia tena wewe mshamba, hizo picha zako zinaonesha izo criteria za quality??? Unaona durability apo??? Ndo maana nasema tena wewe mshamba!
Kwaio wewe unajiona unaakili na hayo mapicha yako sio? Nikuulize swali jingine wewe ni professional kwenye sekta ya ujenzi?Najadiliana na kilaza na mpofu si tu wa macho bali akili..
Mwisho narudia kukueleza tunaposema barabara Bora ni zina meet criteria zote hapo juu.
Wenzetu wanaposema tunajenga barabara ni barabara kweli sio ujinga ujinga unaofanyika huku Tzn afu mnapiga mapambio.
Hii hapa Fly over inajengwa Kampala sasa linganisha na ule ujinga wa pale Tazara na Ubungo[emoji116]
View attachment 2088028
View attachment 2088029
View attachment 2088030
Yaaani unatuonesha 3D render unasema unaona quality [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Umetumwa eeeh!!Najadiliana na kilaza na mpofu si tu wa macho bali akili..
Mwisho narudia kukueleza tunaposema barabara Bora ni zina meet criteria zote hapo juu.
Wenzetu wanaposema tunajenga barabara ni barabara kweli sio ujinga ujinga unaofanyika huku Tzn afu mnapiga mapambio.
Hii hapa Fly over inajengwa Kampala sasa linganisha na ule ujinga wa pale Tazara na Ubungo[emoji116]
View attachment 2088028
View attachment 2088029
View attachment 2088030
Amemuachia nani? Kwa nini hakuimaliza? Aliacha kipi kinachofanya Kazi?
Na ndio maana Tzn hakuna tunachoweza kuwazidi watu kwa sababu za akili za kijinga kama hizi za kina mwendazake.
No focus ni kushika kila sehemu matokeo yake ndio haya sasa, yaani typical akili za Kitanzania.
Barabara hujamaliza unashika kingine nacho kimeishia njiani, wenzetu wamejenga reli imeisha inafanya Kazi sisi sasa ni maneno ya kijinga kama haya yako.
Nadhani shida yako ni kung'ang'ania ujinga,sijui una maslahi gani nao..Yaaani unatuonesha 3D render unasema unaona quality [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Umetumwa eeeh!!
Nimekuchoka Baki na umbulula wako,unaletewa picha za actual na completed hutaki.Kwaio wewe unajiona unaakili na hayo mapicha yako sio? Nikuulize swali jingine wewe ni professional kwenye sekta ya ujenzi?
Ona hili poyoyo nalo,Kuwa ccm sio kutumia masaburi kufikiria unless uniambie kwamba kutetea ujinga ndio utaratibu wa Chama.Acheni utani nyie,
Hakuna inchi yeyote afrika mashariki na kati inaifikia tanzania kwa barabara nzuri,
Labda muwe ni wale wa pinga pinga
Wewe endelea kung'ang'ania upumbavu wako! Hio list yako ya pili eti Seychelles ina network kubwa ya barabara kwa 526Km[emoji23][emoji23][emoji23], Hivi unafikiri kutoka Kinshasa hadi Lubumbashi kuna umbali gani???Nadhani shida yako ni kung'ang'ania ujinga,sijui una maslahi gani nao..
Kwa hiyo sisi tuko vizuri kuwashinda hao sio?
Amejaribu,toka akiwa waziri.Si tuliambiwa jiwe kaijenga Tz imekuwa kama ulaya?
Toa ujinga wako hapa..kama unajua viwango Bora nini sema hapa. Otherwise shut upUnaweza kutembea ila hujui unachoongea,kama hujui kipimo cha ubora Wa barabara tulia.
Nimekupa mifano hapo juu unabwabwaja.Narudia tena Tzn kuna barabara ya toll road kama ya Entebe Kampala? Ukiipata nitag
Nimegundua HIi Nchi ina watu viongozi wenye uwezo mdogo Sana hasa kwenye sekta ya planning na design na haya ni matokeo ya elimu ya kukaririshwa,kukosa exposure na kuingiza siasa kwenye Kila kitu.si tulielewana kuwa hayo ni maendeleo ya vitu na si watu. ngoja tuachane na maendeleo ya vitu na tujikite kwenye maendeleo ya watu
Wewe ni mpumbavu na naku ignore,unajiuliza una ng'ang'ania ujinga na kutetea ujinga kwa faida ya nani sasa?Toa ujinga wako hapa..kama unajua viwango Bora nini sema hapa. Otherwise shut up