Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?

Nishakwambia hizo barabara zote ni za vumbi,mambo ya wakandarasi wako site ni maneno ya miaka yote.
 
Ni kweli, maana : Za kuambiwa changanya na za kwako: by J. M Kikwete.
 
Mada nzur sana
Mimi si mtaalamu wa haya mambo wala mjuzi ila kwa uelewa wangu kuna mahali viongozi wetu/wataalamu na wahusika wote wa miundombinu kataika nchi hii ya TANZANIA hawako sawa,na sijui kama wanatambua hawako sawa
Kwa ujenzi wa barabara zilizoanza angalau mwaka 2000 na kuendelea zilitakiwa kutokua kwenye plan ya upanuzi ama ukarabati kwa kipindi kirefu sana,
Na hawa mipango miji/majiji (wako hovyo sana)eg.Arusha
Ujenzi ni wa hovyo hakuna master plan
 
Ni
Hi nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na hizo nchi. Utakuta huzi tulizojenga kwa uchache wake zitaenea eneo kubwa la hizo nchi. Bado tuendelee kuikumbusha Serikali watimize wajibu wao
Ujinga kusema Tanzania ni kubwa mno ndio maana barabara ni mbovu. Kama nchi ni kubwa pia rasilimali ni nyingi. Tunashindwa tu kupanga mipango yamaendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…