mh,mi nipo geita natoka geita mpk kahama barabara ya lami,labda unaongelea njia ya mkato kupitia bugarama, nijuavyo haipo tanroad njia hii, majuzi tu nilitoka geita nikapita kahama,nzega,tabora,itigi,manyoni,dodoma mpaka dodoma kote lami. sometimes back nilikuwa kasulu wachina wako kule wanafanya kazi nzuri kabisa ya kuunganisha mkoa wa kigoma na mikoa mingine pia nchi jirani maana kuna barabara inayopita buhigwe inaenda mpaka mpakani mwa burundi. nijuavyo katavi kigoma. kuna kilomita 216 zinajengwa kutoka katavi,rukwa,kigoma mpaka mkoa wa tabora n.k. ndugu yangu kuna kazi inafanyika kwa kweli usiongelee njia unazopenda wewe kupita ongelea maslahi mapana ya taifa na vipaumbele vya barabara