Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?

Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?

mh,mi nipo geita natoka geita mpk kahama barabara ya lami,labda unaongelea njia ya mkato kupitia bugarama, nijuavyo haipo tanroad njia hii, majuzi tu nilitoka geita nikapita kahama,nzega,tabora,itigi,manyoni,dodoma mpaka dodoma kote lami. sometimes back nilikuwa kasulu wachina wako kule wanafanya kazi nzuri kabisa ya kuunganisha mkoa wa kigoma na mikoa mingine pia nchi jirani maana kuna barabara inayopita buhigwe inaenda mpaka mpakani mwa burundi. nijuavyo katavi kigoma. kuna kilomita 216 zinajengwa kutoka katavi,rukwa,kigoma mpaka mkoa wa tabora n.k. ndugu yangu kuna kazi inafanyika kwa kweli usiongelee njia unazopenda wewe kupita ongelea maslahi mapana ya taifa na vipaumbele vya barabara
Nishakwambia hizo barabara zote ni za vumbi,mambo ya wakandarasi wako site ni maneno ya miaka yote.
 
Kama hiyi ndio barabara iliyopo ndani ya miji yetu unategemea nini
 

Attachments

  • IMG_20220120_111502.jpg
    IMG_20220120_111502.jpg
    226 KB · Views: 7
Wajinga tu ndo wataamini huu upuuzi na data za kupikwa! Hapo kwenye network Sasa Seychelles inakaaje apo na hio 526Km[emoji28][emoji28], Zambia tu hapo kutoka Lusaka hadi Border (TDM) ni zaidi ya 1000KM sasa si uppuzi huo. Nchi kama Uganda wanatuzidi vipi sisi??? Tuna network ya barabara kwenda zaidi ya majiji na miji 43. Ifike mahala watanzania tuache kipiga ngenga tujikubali sisi ni bora bwanaa! Kuhusu ubora mimi sio mtaalam ila naamini Tanzania lazima iwe kwnye nafasi nzuri apo.
Ni kweli, maana : Za kuambiwa changanya na za kwako: by J. M Kikwete.
 
Mada nzur sana
Mimi si mtaalamu wa haya mambo wala mjuzi ila kwa uelewa wangu kuna mahali viongozi wetu/wataalamu na wahusika wote wa miundombinu kataika nchi hii ya TANZANIA hawako sawa,na sijui kama wanatambua hawako sawa
Kwa ujenzi wa barabara zilizoanza angalau mwaka 2000 na kuendelea zilitakiwa kutokua kwenye plan ya upanuzi ama ukarabati kwa kipindi kirefu sana,
Na hawa mipango miji/majiji (wako hovyo sana)eg.Arusha
Ujenzi ni wa hovyo hakuna master plan
 
Ni
Hi nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na hizo nchi. Utakuta huzi tulizojenga kwa uchache wake zitaenea eneo kubwa la hizo nchi. Bado tuendelee kuikumbusha Serikali watimize wajibu wao
Ujinga kusema Tanzania ni kubwa mno ndio maana barabara ni mbovu. Kama nchi ni kubwa pia rasilimali ni nyingi. Tunashindwa tu kupanga mipango yamaendeleo
 
Back
Top Bottom