Tanzania tunakwama wapi kutengeneza wakina Beatrice Chebet kama ilivyo Kenya?

Tanzania tunakwama wapi kutengeneza wakina Beatrice Chebet kama ilivyo Kenya?

o_2

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
428
Reaction score
385
Kushinda aje?

Baada ya mizunguko yangu ya leo, nimerudi magetoni nawasha Tv supersport 9 nakutana na highlights za mashindano mbalimbali ya olimpiki yanayoendelea nchini Ufaransa katika jiji la Paris.

Ghafla nakutana na mdada BEATRICE CHEBET kutoka Kenya. Ameshindana marathon M 5,000 na M 10,000 na zote ameshika namba moja. Two gold medals.

Ghafla tena nakumbuka kuna wanariadha kutoka Tanzania walienda kushiriki mashindano hayo ya olimpiki. Sioni habari zao popote.

Soma Pia:
Tuna kwama wapi kutengeneza wakina Beatrice wengi ili siku moja tuwaone wakituwakikisha kwenye mashindano mbalimbali??

Unaendea jioni hii maridhawa ukiwa wapi? Karibuni Korogwe, mvuni kwa bwana boka tupate vikombe viwili vitatu vya alkasusu.
 
1. Kenya wakikumbuka njaa huko kwao lazima mtu akaze misuli ya makalio kupata Medali.

2. Makocha wao ni wa-kimataifa na training sessions zinafanyika ndani (Eldoret) na nje (Ulaya na US). Tofaut na zenu mnazoenda kubanana kwa yule Mzee pale Kibaha.

3. Tandau bado analamba asali hapo Kamati ya Olimpiki?
 
Huku Mzee hawajui michezo mwingine zaidi ya Soka. Nchi Haina vipaji vya soka inalazimisha kwa kununua wachezaji wa kigeni.

Fedha zinazotumika kwenye soka hata robo ingetumika kuandaa mashindano ya tifa ya riadha tungeishangaza dunia. Tarime, singida, babati, rombo, Dodoma na Arusha Kuna watu vijijini wanaokimbia hao WAKENYA wakasome. Lakini wanaozaliwa na vipaji vyao wanazeekea navyo kwenye pombe za kienyeji.

Tuungane kwa pamoja kupiga vita adui wa maendeleo ya Taifa letu mpira wa miguu a.k.a soka.a.k.a kabumbu. Umaskini na ujinga wa Watanzania unachangiwa na upuuzi huu hapa nchini.

Kenya wameachana nalo lakini wimbo wa nchi Yao umepigwa mara kibao huku bendera Yao ikipandishwa kwa uzalendo mkuu huku dunia nzima ikiwa kimya.Tunazidiwa mpaka na Uganda, sudani kusini na Botswana?
 
Huku Mzee hawajui michezo mwingine zaidi ya Soka. Nchi Haina vipaji vya soka inalazimisha kwa kununua wachezaji wa kigeni. Fedha zinazotumika kwenye soka hata robo ingetumika kuandaa mashindano ya tifa ya riadha tungeishangaza dunia. Tarime, singida, babati, rombo, Dodoma na Arusha Kuna watu vijijini wanaokimbia hao WAKENYA wakasome. Lakini wanaozaliwa na vipaji vyao wanazeekea navyo kwenye pombe za kienyeji.Tuungane kwa pamoja kupiga vita adui wa maendeleo ya Taifa letu mpira wa miguu a.k.a soka.a.k.a kabumbu. Umaskini na ujinga wa Watanzania unachangiwa na upuuzi huu hapa nchini. Kenya wameachana nalo lakini wimbo wa nchi Yao umepigwa mara kibao huku bendera Yao ikipandishwa kwa uzalendo mkuu huku dunia nzima ikiwa kimya.Tunazidiwa mpaka na Uganda, sudani kusini na Botswana?
Hii ni point, kama kuna wahusika humu waichukue.
 
Hata kuonyesha live ilikuwa kwa mbinde. Kenya Tv ya Taifa ilikuwa inaonyesha live Kila watu wao walipokuwa wako viwanjani

Bongo tukapelekwa kwenye channel ya kidini badala ya kuonyesha riadha hasa marathon kwa wanawake wao wakaitumia kama platform ya kueneza dini Yao kwa mdahalo wa kimataifa wa dini
 
Kushinda aje?

Baada ya mizunguko yangu ya leo, nimerudi magetoni nawasha Tv supersport 9 nakutana na highlights za mashindano mbakimbaki ya olimpiki yanayoendelea nchini Ufaransa katika jiji la Paris.
Ghafla nakutana na mdada BEATRICE CHEBET kutoka Kenya. Ameshindana marathon M 5,000 na M 10,000 na zote ameshika namba moja. Two gold medals.

GhAfla tena nakumbuka kuna wanariadha kutoka Tanzania walienda kushiriki mashindano hayo ya olimpiki. Sioni habari zao popote.

Tuna kwama wapi kutengeneza wakina Beatrice wengi ili siku moja tuwaone wakituwakikisha kwenye mashindano mbalimbali??

Unaendea jioni hii maridhawa ukiwa wapi? Karibuni Korogwe, mvuni kwa bwana boka tupate vikombe viwili vitatu vya alkasusu.
Wewe ulizima tv haraka kabla ya kuwaona watz wakivishwa medali zao mpyaaa.
 
Kushinda aje?

Baada ya mizunguko yangu ya leo, nimerudi magetoni nawasha Tv supersport 9 nakutana na highlights za mashindano mbakimbaki ya olimpiki yanayoendelea nchini Ufaransa katika jiji la Paris.
Ghafla nakutana na mdada BEATRICE CHEBET kutoka Kenya. Ameshindana marathon M 5,000 na M 10,000 na zote ameshika namba moja. Two gold medals.

GhAfla tena nakumbuka kuna wanariadha kutoka Tanzania walienda kushiriki mashindano hayo ya olimpiki. Sioni habari zao popote.

Tuna kwama wapi kutengeneza wakina Beatrice wengi ili siku moja tuwaone wakituwakikisha kwenye mashindano mbalimbali??

Unaendea jioni hii maridhawa ukiwa wapi? Karibuni Korogwe, mvuni kwa bwana boka tupate vikombe viwili vitatu vya alkasusu.
Ila tukiendelea kunywa alkasusu, medali tutazisikia tu kwa wenzetu.
 
Tuko theoretical sanaaa.

Hatutafuti exposure na kujifunza kuyaendea mafanikio, akili zetu zimejikita kwenye ujanjaujanja tu.
 
  • Thanks
Reactions: o_2
Back
Top Bottom