o_2
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 428
- 385
Kushinda aje?
Baada ya mizunguko yangu ya leo, nimerudi magetoni nawasha Tv supersport 9 nakutana na highlights za mashindano mbalimbali ya olimpiki yanayoendelea nchini Ufaransa katika jiji la Paris.
Ghafla nakutana na mdada BEATRICE CHEBET kutoka Kenya. Ameshindana marathon M 5,000 na M 10,000 na zote ameshika namba moja. Two gold medals.
Ghafla tena nakumbuka kuna wanariadha kutoka Tanzania walienda kushiriki mashindano hayo ya olimpiki. Sioni habari zao popote.
Soma Pia:
Unaendea jioni hii maridhawa ukiwa wapi? Karibuni Korogwe, mvuni kwa bwana boka tupate vikombe viwili vitatu vya alkasusu.

- Tanzania Haijashinda Medali yoyote Olympics kwa takriban miaka 40. Shida iko wapi?
- Wanariadha wa 4 kutuwakilisha kwenye mashindano ya Olimpiki huko Paris Ufaransa Mwezi Julai, Kambi kuwekwa Arusha