Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

Uhuru tumewatangulia,,Ardhi yetu kubwa,, watu tunawazidi,, rasilimali tunawazidi,, sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchumi!?? Ina maana wanatuzidi akili ama nini!!!?
Pesa yako ikiwa na thamani kubwa wewe inakusaidia nini??

Thamani ya pesa ni ukubwa wa manunuzi unayoweza kufanya siyo NAMBA.

Screenshot_20250810_191729_Facebook.jpg
 
Mimi sio mtalaam wa mambo ya uchumi, lakin tofauti ya ulicho kiandika hapo ni namna ya kuzitunza tu. Maana ake million Moja ya Kenya amabyo ni sawa na million 19 na ushee hivi ya kibongo unaweza kuibeba hata mfukoni kwasababu Noti zake ni chache lakin million 19 ya kibongo ambayo ni sawa na million Moja ya Kenya huwez ibeba mfukon maana Noti ni nyingi sanaa.

Njoo kwenye namna amabvyo hio pesa inapatikana.
Kuipata million Moja ya Kenya hustling zake ni ngumu zaidi kwa huko Kenya kuliko hustling za kupata million 20 hapa Tanzania.
Kwa kifupi me naonaga thaman ni Ile Ile tu.
 
Mimi sio mtalaam wa mambo ya uchumi, lakin tofauti ya ulicho kiandika hapo ni namna ya kuzitunza tu. Maana ake million Moja ya Kenya amabyo ni sawa na million 19 na ushee hivi ya kibongo unaweza kuibeba hata mfumo kwasababu Noti zake ni chache lakin million 19 ya kibongo ambayo ni sawa na million Moja ya Kenya huwez ibeba mfukon maana Noti ni nyingi sanaa.

In short hizo pesa zina thamani sawa, au Milioni 20 ya TZ inaweza kufanya manunuzi ambayo 1M ya Kenya haiwezi kufanya Kenya.
 
Mimi sio mtalaam wa mambo ya uchumi, lakin tofauti ya ulicho kiandika hapo ni namna ya kuzitunza tu. Maana ake million Moja ya Kenya amabyo ni sawa na million 19 na ushee hivi ya kibongo unaweza kuibeba hata mfumo kwasababu Noti zake ni chache lakin million 19 ya kibongo ambayo ni sawa na million Moja ya Kenya huwez ibeba mfukon maana Noti ni nyingi sanaa.

Njoo kwenye namna amabvyo hio pesa inapatikana.
Kuipata million Moja ya Kenya hustling zake ni ngumu zaidi kwa huko Kenya kuliko hustling za kupata million 20 hapa Tanzania.
Kwa kifupi me naonaga thaman ni Ile Ile tu.
Kwani Kenya hela inapatikanaje nA Bongo inapatikanaje!? Fafanua hapa kama Tz hela inaokotwa na Kenya inahangaikiwa.
 
Mimi sio mtalaam wa mambo ya uchumi, lakin tofauti ya ulicho kiandika hapo ni namna ya kuzitunza tu. Maana ake million Moja ya Kenya amabyo ni sawa na million 19 na ushee hivi ya kibongo unaweza kuibeba hata mfukoni kwasababu Noti zake ni chache lakin million 19 ya kibongo ambayo ni sawa na million Moja ya Kenya huwez ibeba mfukon maana Noti ni nyingi sanaa.

Njoo kwenye namna amabvyo hio pesa inapatikana.
Kuipata million Moja ya Kenya hustling zake ni ngumu zaidi kwa huko Kenya kuliko hustling za kupata million 20 hapa Tanzania.
Kwa kifupi me naonaga thaman ni Ile Ile tu.
Mbona kama maajabu haya, thamani Sawa? Kama NI hivyo basi USD na TZS zote zina thamani sawa
 
Kenya ilibakisha mkoloni baada ya uhuru ,mzungu ndio mwekezaji mkubwa pale 254 nenda madukani kaangalie bidhaa Toka Kenya zilivyojaa sio Tz tu Wana export sana

Hapa Tz tulifukuza beberuz baada ya uhuru ,tukaanza upya imekuwa maji kujaa maji kupwaa mpaka Leo😂
 
Mbona kama maajabu haya, thamani Sawa? Kama NI hivyo basi USD na TZS zote zina thamani sawa
Ng'ombe la chama hilo achana nalo ndo yametufikisha hapa hayataki mijadala inayoliinua taifa,,utasikia yanakwambia hamia kenya
 
Back
Top Bottom