Sasa ni akili au uzuzu mzungu angekuwa na shida gn kama angebaki!? Mbona viongozi nao ni kama zaidi ya wakoloni kujilimbikizia mali kumezidi!?Kenya ilibakisha mkoloni baada ya uhuru ,mzungu ndio mwekezaji mkubwa pale 254 nenda madukani kaangalie bidhaa Toka Kenya zilivyojaa sio Tz tu Wana export sana
Hapa Tz tulifukuza beberuz baada ya uhuru ,tukaanza upya imekuwa maji kujaa maji kupwaa mpaka Leo😂
Ni sawa.Hapa tunaangalia uchumi unaozalisha hiyo pesa je,Una nguvu sawa!?
Ni mikubwa au midogo?Kaangalie mishahara ya wa kenya uone ..
Wapigaji plus ujinga. Sisi bado ujinga umetamalaki na wachache wanautumia kujinufaisha. Sidhani kama kenya wanafikia nusu ya utajili wa asili tulio nao ( madini, utalii, udongo wenye rutuba na mvua kila mwka maeneo mengi).Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Zina thaman sawaIn short hizo pesa zina thamani sawa, au Milioni 20 ya TZ inaweza kufanya manunuzi ambayo 1M ya Kenya haiwezi kufanya Kenya.
Ikoje mi nachojua MD wa Kenya anayeanza kazi anapokea milion 5.1 ya bongo ,,,huku bongo MD ameongezwa juzi anapokea 1.6mKaangalie mishahara ya wa kenya uone ..
Toka nje ya nchi, nemda hapo Kenya utoe tongo tongo na huu utaahiraSasa ni akili au uzuzu mzungu angekuwa na shida gn kama angebaki!? Mbona viongozi nao ni kama zaidi ya wakoloni kujilimbikizia mali kumezidi!?
Achana na elimu ya kizamani hiyo, hivi unaijua purchasing power ya mil 20 ya Tanzania?Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Zina thaman sawa
Kilo moja ya mchanga na kilo moja ya dhahabu zote ni sawa ila hazina thamani sawa!!Zina thaman sawa
Sheikh huo ndio mtihani wetu 255 🏃Sasa ni akili au uzuzu mzungu angekuwa na shida gn kama angebaki!? Mbona viongozi nao ni kama zaidi ya wakoloni kujilimbikizia mali kumezidi!?
Mimi Kenya naongoza wagonjwa walioko ICU lakini wewe Tanganyika unaongoza marehemu.Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Ebu tuangalie uchumi wa Kenya unazalishwa na niniAchana na elimu ya kizamani hiyo, hivi unaijua purchasing power ya mil 20 ya Tanzania?
Kenya inafanana nguvu ya fedha Japan. Unadhani Kenya inaikaribia Japan hata kidogo?
1 Oman Riyal sawa na 2.3USD unadhani uchumi wa Oman unauzidi wa Trump hata robo?
Ukinijibu hapo utakuwa umeshapata jibu la Kenya na Tanzania.
That's the reality of life in Tanzania.Pesa yako ikiwa na thamani kubwa wewe inakusaidia nini??
Thamani ya pesa ni ukubwa wa manunuzi unayoweza kufanya siyo NAMBA.
View attachment 3437708
Hebu fanya utafiti ufuata, tywn linganisha.Kilo moja ya mchanga na kilo moja ya dhahabu zote ni sawa ila hazina thamani sawa!!
Ng'ombe wa mama acha uongo sasa mbona wawekezaji wanawekeza Marekani na Ulaya na China kuliko Afrika kama hoja ni hela yako kuwa chini kunavutia wawekezaji!? Wawekezaji si wangehamia wote Burundi!?Ni sawa.
Kwanza pesa yako ikiwa chini ni faida ziadi kwasababu unavutia wawekezaji wanaouza nje, maana wanapatà faida kubwa.