Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,728
- 3,958
It's just your mindset. Kenya shilling na Japanese Yen zinafanana. Kwahiyo Uchumi wa Kenya unafanana na Japan?Ila tuwe wakweli, 1:20 milioni ni ndefu Sana
It's just your mindset. Kenya shilling na Japanese Yen zinafanana. Kwahiyo Uchumi wa Kenya unafanana na Japan?Ila tuwe wakweli, 1:20 milioni ni ndefu Sana
Kinachotufavor bongo, gharama za kuishi ziko chini sana.Tanzania mishahara ipo Chini Sana.
Aina maana kutuzidi uchumi kama kilasiku wanalalamika maisha magumu na sisi wa tz mbona maisha yetu yanasonga fresh bila malalamiko kwahy uchumi wa kenya kimataifa ahuña thamani kama raia wao wanalalamika maisha magumu ipò hvyoUhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Labda nimrekebishe kidogo huenda amekosea kidogo kwenye lugha alitaka kumaanisha Tanzania kuna fursa nyingi sana za kuingiza pesa kuzidi Kenya.
Kenya kupata shughuli ya kuingiza 250Ksh/5000Tsh ni shughuli pevu ndio maana ukiwacheki Majobless wa Kenya wanapauka kama machokoraa lakini Majobless wa Tanzania wana vitambi.