OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Ndiokwa hiyo unawaona akina Prof. Mkumbo Kitila wanavyohangaika na vision 2050 uchumi wa 255 upande kuungana na nchi zilizoingia uchumi wa kati ni wehu??
Ndiokwa hiyo unawaona akina Prof. Mkumbo Kitila wanavyohangaika na vision 2050 uchumi wa 255 upande kuungana na nchi zilizoingia uchumi wa kati ni wehu??
Mzee 10k hufanyii chochote??Sasa mkuu unataka kuwadanganya Akina nani? Watanzania? Chukua elfu 10 kanunue ugali na nyama choma! Kwa sababu tu kitu imeandikwa kiingereza unaona kina maana, hiyo kawadanye wajinga wenzio. Sisi tupo kwa ground na hiyo 10k haifanyi chochote
Tumeshaambiwa tunamzidi mmarekani ukuaji wa kiuchumi mkuu.... 😂😂😂 Unatucompare na Kenya seriously??Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Kwani hela ya Japan na Kenya zipoje kimahesabu?Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Linganisha pesa ya Kenya na Japan tuoneHapa tunaangalia uchumi unaozalisha hiyo pesa je,Una nguvu sawa!?
TZ siyo puppet wa Mzungu.Mashirika makubwa ya umoja WA mataifa yanahamia HAPO mkuu, Nikajiuliza HIVI huwa hawazioni fujo za gen z. Siwange KUJA Tz. JAMAA WAKO VIZURI
Kwishaaaaaaa
Kenya wanaishi maisha magumu sana tofauti na tzKwani Tanzania Kuna ajira mkuu au hukuelewa maana ya KWENDA veta?
Alichokujibu ndo ukweli wenyeweAkili mnembe ulizonazo usivuke barabara ukiwa pekeyako
Kwani watakuwa wanakaa mawinguni wazawa kunufaika ni lazima mkuu umekomenti kisiasa YANI una manisha wakenya hawato nufaika mkuu? Umenishtua SANA mkuu kiwango chako cha ufikiri mkuu kimenishangazaTZ siyo puppet wa Mzungu.
Unadhani pia kwanini hawahamii South Africa??
Lakini pia hayo mashirika yanahamia na wafanyakazi wao, wewe utapata nini?
Nyie msioandamana ni uwoga na kutokujua haki zenu,ila mna shida kuliko warundi na wacongo wanaoishi vitaniAnza na kushangaa kwamba ni haohao wakenya wanaandamana kwa kukosa ajira na maisha magumu, mpaka wanalalamika tukitunga sheria za kuzuia vinyozi na watu wanaofanya biashara za mpesa
Hakuna Mkenya atanufaika, zaidi ya kupanda kwa gharama za maisha.Kwani watakuwa wanakaa mawinguni wazawa kunufaika ni lazima mkuu umekomenti kisiasa YANI una manisha wakenya hawato nufaika mkuu? Umenishtua SANA mkuu kiwango chako cha ufikiri mkuu kimenishangaza
Kwishaaa
Kenya hawaandamani kudai haki.Nyie msioandamana ni uwoga na kutokujua haki zenu,ila mna shida kuliko warundi na wacongo wanaoishi vitani
hoja hapa sio uimara wa sarafu hoja hapa ni uimara wa hudumaUhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum?
Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
Labda nimrekebishe kidogo huenda amekosea kidogo kwenye lugha alitaka kumaanisha Tanzania kuna fursa nyingi sana za kuingiza pesa kuzidi Kenya.Kwani Tanzania Kuna ajira mkuu au hukuelewa maana ya KWENDA veta?